Kikubwa ni ile kamati ya maaskofu inayokuwepo pale wakati wa usahihishaji na kupanga matokeo pia upendeleo unaotolewa kwa shule za kanisa. Mfano Mdogo ni shule moja ya kiislamu kule Bukoba jina nalihifadhi ni ya kiislamu. Ilifaulisha wanafunzi wengi kuliko Mau na St francis ikafutiwa matokeo. Na kadhia ya 2011 shule za zanzibar kufutiwa matokeo kwa kufaulu sana.:redface:
Smart move kwa waislam kuandamana bila taarifa yoyote, maana iwapo yangetangazwa wahuni wa c*m wangevamia na kusababisha maafa ionekane waislam ni wavunja amani. Mission accomplished, Ndugu zetu wameshaachiwa na kesi zitafutwa kimya kimya au watapigwa faini ya shilingi elfu mbili (2000) kila mmoja ili iwe fundisho kwa wengine (teh teh teh).
Dini inayootukana wengine hiyo siyo dini bali ni dini ya shetani.
kosa la Ndalichako ni kuwa KAFIR, kwani mpango wetu ni kuhakikisha nafasi zote muhimu ndani ya nchi zinashikwa na watu wa DINI YETU!Tukimaliza Ndalichako tutamfuatilia mtoto wa mkulima kwani ndio pekee anatia kiwingu pale juu! nyinyi endeleeni kulala sisi tupo kazini mpaka kieleweke!
kosa la Ndalichako ni kuwa KAFIR, kwani mpango wetu ni kuhakikisha nafasi zote muhimu ndani ya nchi zinashikwa na watu wa DINI YETU!Tukimaliza Ndalichako tutamfuatilia mtoto wa mkulima kwani ndio pekee anatia kiwingu pale juu! nyin
yi endeleeni kulala sisi tupo kazini mpaka kieleweke!
Mkuu sitakuhamini kuwa polisi kupitia inteligesia yao walikuwa hawana hizo taarifa za maandamano coz hata walivyokuwa wanaingia Ghana Avenue walikuja msafara jiji hili kila mtaa kuna polisi siyo trafik wapi wa tigo/voda fasta na pikipiki....Kuna maswali za 100 unaweza kujiuliza ila kwasasa siyo ya msingi sana na kikubwa hakukutokea maafa. Sasa wameshawaarifu kuwa Next Move ni NECTA Je watafanikiwa?
Mkuu wewe ulikuwa hutaki waandamane.
Panga pangua Ijumaa ijayo waislam wataandamana kwenda NECTA(Mwenge) au MoE(Posta), mara baada ya swala ya ijumaa, na lazima Joyce Nderichako ataachia ngazi.
Kama maandamano yaliyopita wamefanikiwa basi wako tayari kwa hili na wanauhakika watafanikiwa pia.
Haya yote yataendelea kutokea kwa kuwa JK na chama chake walipalilia udini ili uwe mtaji wao wa kisiasa. Na haya ndio matokeo yake.
Ombi langu kwa serikali na jeshi la polisi kuepusha matumizi yoyote ya nguvu dhidi ya maandamano haya kwani yatazaa vifo vingi na uharibifu mkubwa wa mali ukiwemo uchomaji wa makanisa.
mkuu nawe unamawazo mgando! waache waandamane maana din yao inaruhusu jihad .
Kaka mawazo yako ni hayo basi ngoja tujipange ila hatutotaka cdm iwe cuf bali maandamano tutayaelekeza kwa tendwa kuwa cdm ifutwe ni chama cha kanisa. Hapo unasemaje. Na ivi tendwa ameshazungumzia ndio atapata nguvu na hapo hapo kitafutwa. Ngoja tuorganize. Mtajuta kutoa wazo. Tutaungana na tendwa kuhakikisha uchaguzi ujao hakipo.
Mkuu maneno ya kamanda Mnyika kuhusu dhaifu inadhibitika kidogo kidogo.lets wait n see
Hili suala la udini JK tateseka nalo sana, ni chanzo cha mvurugano,Ukisikia nchi haitawaliki, ndo hapo kuendekeza udini.Mfumo wa sheria na utawala hauwezi kuendeshwa kwa misingi ya kidini.hata jana, ni kosa la usimamizi wa sheria, kama je maandamano hayo yalikuwa na kibali?je muda wa sensa ulikuwa umeisha?na je waliokamatwa , walikamatwa kimakosa sababu sheria ya sensa hairuhusu kumkamata mtu aliyekataa kuhesabiwa?na kama sheria ilitumika kiufasaha, hapa dini inatumika vipi kuendesha sheria?ni mara ngapi polisi wanasisitiza utiii bila shuruti hasa kova, je jana mbona hakuwapiga mabomu?ina maana hizi sheria za nchi zinaendeshwa na dni ya kiislam ?kwa mtakabari huo hatuna watawala wala wasimimizi wa sheria , kova mwislam, mwema mwislam, kawambwa, mwislam, JK mwislam, kwahiyo ndalichako lazima aondolewe na waislam, na si uwezo na mfumi sahihi bila kujali dini?
hapa naona ndalichako analindwa na wadau wengi wa jf kwakuwa yeye ni Mkiristo tu. lkn ni wazi NECTA kimekuwa kichaka cha kanisa. Wengi wakiristo wanaopta daraja la 1 la necta wakiingia Univ wanakuwa mzigo kwa taifakosa la Ndalichako ni kuwa KAFIR, kwani mpango wetu ni kuhakikisha nafasi zote muhimu ndani ya nchi zinashikwa na watu wa DINI YETU!Tukimaliza Ndalichako tutamfuatilia mtoto wa mkulima kwani ndio pekee anatia kiwingu pale juu! nyinyi endeleeni kulala sisi tupo kazini mpaka kieleweke!
Difference is for those who work smart and for those who work harder. Who are working harder and who are smart workers? the fools always cant realise the right way of move and incase of success it is always of very litle and they retire, the one old long man realised that who he works smart will win the war and who he wade the gun will takeover the chance. It is ur time