Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
Si wewe Ng'wanangwa wa kwanza kupinga unazoziita nadharia za kiarabu! Walikuwepo watu walijiita Baba wa Ujinga (Abu Jahali) waliopinga kwa vitendo lakini angalia ulivokuwa mwisho wao!
ALLAH akuongoze na akuepushe na shaytwan na shirki zake.
Ishu ni kutokana na watu kudhani kuwa akili zetu zaweza kutatua kila kitu bila kufuata kanuni zinazotawala maisha ya binadam!
Tumepewa akili kufikiri ila kwa vitu ambavyo vishawekewa mipaka huna haja ya kutumia akili yako lazma uumie.ingekuwa akili ya binadam yaweza kila kitu ungeweza kutembea, kusema, na kufanya chochote mwenyewe baada tu ya kuzaliwa! Bt hukuweza yote hayo, na kanuni hiyohiyo ndiyo inayotumika kukukuza ambapo huwezi kuuzuia uzee wala hutaweza kutumia akili yako kuzuia kifo!
Kwa hiyo maumbile yako yenyewe yanakiri kufuata kanuni iliyowekwa na MUUMBA, why sasa ktk kipindi unachodhani una akili sana ya kufikiria usifuate kanuni hizo!?
Huu ni ukumbusho tu ndugu zangu, ee MOLA shuhudia nimefikisha japo kwa uchache kile ulichoniwezesha...
Baada ya waandamani ya waislam leo kufanikiwa kuwakomboa wenzao ambao walishikiliwa na polisi kwa kukataa kushiri katika zoezi la sensa wamesema wanaenda kujipanga na safari hii NECTA wanataka kushinikiza Dr. Ndarichako kuachia ngazi kwa kile kinachoonekana kuto watendea haki.
Mytake:
1.Je hayo maandamano yatapewa kibali?
2. Serikali watakuwa tayari kumtosa Ndalichako ili kuwafurahisha waandamanaji?
3. Tatizo ni Ndarichako au mfumo?
Naomba tujadili wadau
We acha tu ndugu yangu. Hawa wenzetu wamefundishwa kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu.Kwanini wanam-target Dr Ndalicheko na sio waziri wa Elimu? Dr Ndalicheko ana-report kwa boss wake - waziri wa elimu, sasa kwa nini hawa waislam wanakwenda kwa mtu wa kati na sio boss mwenye mamalaka ya mwisho?
nakubaliana na wewe to an extent,hatuwezi kusema tufuate njia za dini fulani ktk kujenga uchumi wetu,huko ni kukaribisha vurumai zaidi,je dini nyingine wakisema nazakwetu hizi hapa mbona hatuzifuati?vipi wasiokuwa na dini tunawaweka ktk kundi gani?
Kwanini wanam-target Dr Ndalicheko na sio waziri wa Elimu? Dr Ndalicheko ana-report kwa boss wake - waziri wa elimu, sasa kwa nini hawa waislam wanakwenda kwa mtu wa kati na sio boss mwenye mamalaka ya mwisho?
Boss wake ni mwislamu kwahiyo anayetakiwa kuondoka dr Ndalichako ili waweke mwislamu list ikamilikeKwanini wanam-target Dr Ndalicheko na sio waziri wa Elimu? Dr Ndalicheko ana-report kwa boss wake - waziri wa elimu, sasa kwa nini hawa waislam wanakwenda kwa mtu wa kati na sio boss mwenye mamalaka ya mwisho?
huu moto hauzimi mazee hata mfanye nini.mpaka utakufa utazikwa utaoza wewe na kizazi chako chote hizo nadharia za kiarabu hazitafanikiwa.
nakubaliana na wewe to an extent,hatuwezi kusema tufuate njia za dini fulani ktk kujenga uchumi wetu,huko ni kukaribisha vurumai zaidi,je dini nyingine wakisema nazakwetu hizi hapa mbona hatuzifuati?vipi wasiokuwa na dini tunawaweka ktk kundi gani?
Well said mkuu to put this short.......ukishaanza kutoa double standards hata kwa watoto ni signs za familia kukushinda.Leo huyu akija John unamwambia Ndiyo, Kesho akija Ally unapatawapi Guts za kumwambia Hapana?Tunawajua waliotufikisha hapa na watu wengine sana watahadharisha kuhusu hili lakini wakaweka pamba sana ile time bomb ndo inakaribia.
Unauliza ya Ndalichako mbona sensa ina mpaka sheria kwamba mtu akigoma atafungwa jela miezi 6 leo watu wamegoma na bado wameenda kuwatoa watu wao kibabe? Ogopa tz chini ya kinara dhhhaiiffffffffMkuu naomba nisaidie kuelewa hivi issue ya Ndalichako na waislamu si lilizungumzwa likaisha?au
mind you that huyo Muumba kuna namna tofauti tofauti za kumuomba basing on our differences,how comes unataka tukubaliane na namna unayoiamini wewe?vipi kwa Atheist?unawaweka ktk kundi gani?mbona huo mfano wako ni irrelevant kiasi hicho,fikiri nje ya box,toka kwanza nje ya box la udini ndio utazungumza la maana otherwise you will be bias always.samahani kama nimekukwaza ndugu yangu
Dhaifu plus plus.........kavuta waya akiwa kampala achia hao!
Nashauri member wa humu ndani ambao sio GAMBA watu wa M4C, Kuchangia mada zinazohusu udini kwa umakini sana, msije mkawavuruga hata waislamu walioko CHADEMA , mambo yakawa tofauti.Chamsingi tukomae na huyohuyo shetani CCM na hila zake.
Kaka mawazo yako ni hayo basi ngoja tujipange ila hatutotaka cdm iwe cuf bali maandamano tutayaelekeza kwa tendwa kuwa cdm ifutwe ni chama cha kanisa. Hapo unasemaje. Na ivi tendwa ameshazungumzia ndio atapata nguvu na hapo hapo kitafutwa. Ngoja tuorganize. Mtajuta kutoa wazo. Tutaungana na tendwa kuhakikisha uchaguzi ujao hakipo.
Mkuu,
Sijazungumzia namna ya kuomba wala tofauti ya madhehebu. Nazungumzia njia inayofaa kuchukuliwa na wale wote wanotaka kubadili mifumo yetu ya maisha kwa kufuata fikra za watu wachache badala ya kanuni ya maumbile ambayo hakuna anayeipinga.
Usemi wa kufikiri nje ya box hauhold hapa kwa kuwa uwezo wangu nilopewa kufikiri upo ndani ya milki yake MUUMBA na katu hakuna atakayetoka nje ya Box isipokuwa MWENYEWE MUUMBA.
"Sikuwapa nyinyi ktk maarifa yote ila kidogo sana"
Imefananishwa na kuchovya sindano kwny bahari, utafkiria nini kitachokufaa zaid ya muongozo WAKE? Amini vyovyote hakuna anayeweza kulitengua hili mkuu kwa akili yako ya kibinadamu.