Nchimbi hakugombea ubunge kule Songea. Alitoka mbio kupinga maamuzi ya kamati kuu ya CCM kumpitisha Lowassa. Hakuhama chama. Akarudi kuiomba kamati kuu impitishe awe mgombea uspika, ikambwaga. Nini hatma yake? Je, ndio amefika ukingoni katika siasa?
Mh hakugombea ubunge kule Songea. Alitoka mbio kupinga maamuzi ya kamati kuu ya CCM kumpitisha Lowassa. Hakuhama chama. Akarudi kuiomba kamati kuu impitishe awe mgombea uspika, ikambwaga. Nini hatma yake? Je, ndio amefika ukingoni katika siasa?

Nafasi anayo, ni nafasi ipi? Ndani au nje ya CCM? Alijiandaa au amejiandaa vipi baada ya kuwatuhumu wapiga kura wa kamati kuu kwa kutofuata taratibu? CCM HUIMBA "CCM NI ILE ILE".Nchimbi bado ana nafasi na zaidi ya hapo ni mpambanaji mzuri sana.
Nchimbi ni kijana, anayo nafasi ya kuendeleza mapambano ya kisiasa.
Naomba title ya mada isomeke kuwa 'Dr. Nchimbi: The End of the Beginning'. Mapambano kuelekea 2020 ndiyo kwanza yameanza!
Nchimbi bado ana nafasi na zaidi ya hapo ni mpambanaji mzuri sana.