Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Duh kweli CCM wababe sana Dr wetu ndio hivyo tena kwishey.
CCM ni wababe mithili ya Mbowe kumpitisha EL kuwa mgombea pekee wa nafasi ya urais ndani ya UKAWA bila kushindanishwa na mtu yeyote. Afadhali CCM angalau wanatupa viini macho vya watu kushindanishwa kuliko UKAWA wa Mbowe!