Chamachama
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 200
- 129
ajali ya ndegeamekufa au ameuwawa?
Heee ivi kumbe moyo unachomokaga
napita hapa
Heee ivi kumbe moyo unachomokaga
Soma pia MHUBIRI 7;1 sifa njema ni bora kuliko marashi ya thamani. siku ya kufa ni bora kuliko siku ya kuzaliwa.Nabii mweusi haukupasi uliye kama watu wasio ni iman....Kwa nabii kama wewe uliebadilishwa maisha na marehemu huu ndio ungekuwa wasaa wako wa kuwafariji wana familia ya marehemu na jamaa wengine wasio ma iman sasa kama wewe unajifungia chumban na kulia nan wakuwafarij wafiwa?
Biblia inasema katika UFUNUO WA YOHANA 14:13 Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
Wewee.....hebu rudi bana.......watu msibani huwa hawapiti.......toa hata pole weee.......