Dr.Mwinyi na Mke wa Seif

Dr.Mwinyi na Mke wa Seif

Mm ni mkristo R/C lkn nadhani ndugu zetu waislam wana mafunzo mengi sana ya kujali utu....toka wakiwa wadogo sisi kina Alexander tukiwa na vyeo tunataka kuwa kama kina Alexander the great
Wewe Mkatoliki fake kabisa, hakuna mkatoliki anaekubali kuwa chini
 
Wengi ujiita wakristo kumbe wapagani Tanzania haijawahi kutawaliwa na wakristo wote walikuwa wapagani ila walijifunika ukristo Mbwa mwitu kujivika ngozi ya kondoo.
Hakuna mtu mnafiki kama Kikwete alituachia bomu tena kwa makusudi kabisa.
 
Mm ni mkristo R/C lkn nadhani ndugu zetu waislam wana mafunzo mengi sana ya kujali utu....toka wakiwa wadogo sisi kina Alexander tukiwa na vyeo tunataka kuwa kama kina Alexander the great
Kabisa mkuu
 
Wewe Mkatoliki fake kabisa, hakuna mkatoliki anaekubali kuwa chini
Hata Yesu Kristo, Mwana wa Mungu na Mungu kweli, aliosha miguu ya wanafunzi wake. Tujitafakari sana ndugu yangu, hasa kipindi hiki cha Kwaresma.
 
Hongera sana Mwinyi. Mwenyezi Mungu atakulipa kadri ya matendo yako. Hakika waislamu walio wengi wana utu.
 
Kitu ambacho nimegundua mpaka sasa, waislamu wote wanao tawala huwa ni pole sana,wabinadamu tofauti na wakristo toka Nyerere mpaka leo
Ni kweli lakini shida ya waislamu wanapotawala Uongozi wao unakuwa dhaifu kiasi cha kuachia mianya ya Ufisadi,Rushwa,wizi wa mali ya umma,udini,nk rejea Mzee Ruksa na JMK!
 
Back
Top Bottom