PRISCUS JR
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 448
- 236
Wadau, si vyemakuleta taarifa zenye malengo ya kupotosha jamii.
Matukio ya uhalifu nchini na nchi zote hapa duniani yanatokea, na yanaweza kumkumba mtu yoyote wakiwamo madaktari wetu. Viacheni vyombo vya usalama vitende kazi yake wakuu.

nadhan haelewi maàna ya tetecUbaya wa tetesi uko wapi ndg mi sioni tatizo hapi
Hakuna upotoshaji,vyombo vya usalama vimeshafanya kazi yake kama kwa ulimboka,sasa imebaki kazi yetu wananchi!