We're usiejuaaa ugonjwaaa ukosikunyingi ilawamefanikiwa kuuteketeza... Kamaunakumbuka samahani kamabado ukovijijiniChizi huyoo kadata lazima
Ati wanawaza wataliii wame cancelled trip zao instead ya kuwaza zika balaa lake likoje, bustard kabisa huyoo
Malaika wameshashuka Mlitaka Wa Cancel Nini Sasa...Watalii wote karibu wanacancell safari zao kuja bongo
sijuzi kulikuwa na mtoto ofisini kwa makonda na tv zimeonesha hao watalii wameona.Madhara ya kufanya kazi kwa mazoea ndo taabu yake hii.
Maana ata WHO wao hawatambui kuwa Tz kuna ZIKA sasa sijui uyu mama katoa wapi haya mamlaka ya kuitangazia dunia kuwa Tz kuna ZIKA.
Labda ana bifu na kampuni za utalii Tz ili zikose mapato na sijui atapata faida gani
Typical....Wakuu Salamu kwenu.
Kwanza nampongeza Rais kumtumbua huyu mama, ZIKA haikutakiwa kutangazwa kienyeji namna ile , akamatwe kwa kulisaliti taifa letu.
Galileo Galilei aliuliwa kwa kupigwa mawe kwa kusema Dunia ni Duara na si tambarare kama vitabu vya dini vinavyosema, miaka mia baadae iligundulika dunia ni duara na hadi leo Galileo ni mtu shujaa kwa kusimamia alichokiamini. Kumpuga Dr.Mwale kwa kusema ukweli hakumwondolei weledi wala taaluma yake. Kwanza kwa taaluma yake halali njaa.Ukianza kuona mwanao nalibichwa la ajabu ndo utajua dr alikua anamaanisha nn, endelea kuhara tu
Huyu Doctor alimwambia boss wake wakashauriana? Karopoka, alipaswa kujiridhisha kutoa taarifa kwa Waziri wa afya, Waziri kwa RAIs ndio mpango
Wakuu Salamu kwenu.
Kwanza nampongeza Rais kumtumbua huyu mama, ZIKA haikutakiwa kutangazwa kienyeji namna ile , akamatwe na anyongwe kwa kulisaliti taifa letu.
Acha uongo wewe!Hii itakuwa ni kazi ya bodi ya utalii ya Kenya, washenzi sana hawa watu
Kwani alivyokuwa anasistiza "ELIMU ELIMU ELIMU" alikuwa hajui? Alijua huyo ndio adui namba 1Elimu bado tatizo kubwa hapa Tanganyika.
Unabisha utafiti kwa maneno?
Kama nimeelewa vizuri saga hii ni kwamba utaratibu wa ripoti kama hizi ambazo implication yake ni kubwa haukufuatwa kabla ya kutolewa hiyo repoti hadharani.MBONA WAZIRI NA WATAALAMU WENGINE WALITAARIFIWA NA WAKASHIRIKISHWA WAKATI WA PRESS. SASA MH RAIS KWANINI HAO HAJAWATUMBUA AU KWAKUWA ANAICHUKIA FAMILIA YA MZEE MALECHELA AKAONA ATUMIE WASAA HUU KUMUANGAMIZA DADA MALECHELA
Wengi wali cancell baada ya ku impose VATWatalii wote karibu wanacancell safari zao kuja bongo
HaswaaaMi nadhani aanzishe utaratibu wa ku moderate threads zinazotumwa humu ili zisizo na mashiko anazidrop kabisa