Dr. Mwele ni mhaini wa uchumi, akamatwe

Nikusaidie busted ni
Chizi huyoo kadata lazima
Ati wanawaza wataliii wame cancelled trip zao instead ya kuwaza zika balaa lake likoje, bustard kabisa huyoo
We're usiejuaaa ugonjwaaa ukosikunyingi ilawamefanikiwa kuuteketeza... Kamaunakumbuka samahani kamabado ukovijijini

Posta DAR

KUNA MAMA MMOJA ALIKUWA NA WATOTO WATANO WANAVICHWA VIDOGO KAMA ULIWAHIFIKA DAR FIVE TO SEVEN YRS AGO ULIWAONA

WAKAHAMIA KRKOO KAKADA KAMOJA
WAKAHAMIA BUGURUNII KAKAFIA PALE KAMOJA WAKAPATA MDHAMINI WAKUWASAIDIA.... VILEVICJWA VIDOGO NDIO DALILI ZAZIKA... SO AUKUJA LEO

ALIKUWAWAPI KUUSEMA...

SIOHILO KILICHOMPONZA SIO UONGO NI PROCEDURE ALIZOTUMIA ANGEENA WIZARANI AKAELEZEA WANGEMSHAURI.. NIONACHO HAPO HUYU ALIKUWA ANAPANDISHIANA NA WIZARA KUONESHA NANI MKUBWA BILAKUKUMBUKA WALIOSHIKILIA KISU WAKOJUU
 
Elimu bado tatizo kubwa hapa Tanganyika.
Unabisha utafiti kwa maneno?
 
Madhara ya kufanya kazi kwa mazoea ndo taabu yake hii.
Maana ata WHO wao hawatambui kuwa Tz kuna ZIKA sasa sijui uyu mama katoa wapi haya mamlaka ya kuitangazia dunia kuwa Tz kuna ZIKA.
Labda ana bifu na kampuni za utalii Tz ili zikose mapato na sijui atapata faida gani
sijuzi kulikuwa na mtoto ofisini kwa makonda na tv zimeonesha hao watalii wameona.
 
Wakuu Salamu kwenu.
Kwanza nampongeza Rais kumtumbua huyu mama, ZIKA haikutakiwa kutangazwa kienyeji namna ile , akamatwe kwa kulisaliti taifa letu.
Typical....
Shahidi ni wewe, polisi wa kumkamata ni wewe, askari magereza ni wewe na jaji pia ni wewe.
Chukua muda usome majukumu ya NIMR kwanza.
 
Ukianza kuona mwanao nalibichwa la ajabu ndo utajua dr alikua anamaanisha nn, endelea kuhara tu
Galileo Galilei aliuliwa kwa kupigwa mawe kwa kusema Dunia ni Duara na si tambarare kama vitabu vya dini vinavyosema, miaka mia baadae iligundulika dunia ni duara na hadi leo Galileo ni mtu shujaa kwa kusimamia alichokiamini. Kumpuga Dr.Mwale kwa kusema ukweli hakumwondolei weledi wala taaluma yake. Kwanza kwa taaluma yake halali njaa.

kuna marafiki wawili walikuwa na tezidume mmoja kalitangaza akatibiwa mwenzie kalificha limemwondoa, halafu mnataka dr.mwale anyamaze kwa lipi?
 
Huyu Doctor alimwambia boss wake wakashauriana? Karopoka, alipaswa kujiridhisha kutoa taarifa kwa Waziri wa afya, Waziri kwa RAIs ndio mpango
15622182_369238296774703_3451307045706630165_n.jpg
 
zika inaathiri ubongo na hivyo hata uwezo wa kufikiri, wahanga ni wengi tatizo hatupimi afya zetu, hata hivyo kupitia tunayoyasema na kuyaandika humu ndani inatuonyesha wengi tumeathirika, [HASHTAG]#zika[/HASHTAG] is real, tkcare.
 
Wakuu Salamu kwenu.
Kwanza nampongeza Rais kumtumbua huyu mama, ZIKA haikutakiwa kutangazwa kienyeji namna ile , akamatwe na anyongwe kwa kulisaliti taifa letu.

Hana kosa linalomstahilisha kunyongwa,

ila,
kuna siku nilisema, kazi ya uteuzi kwa Rais wa Tanzania ni kubwa sana! hawezi kuteua wanaofaa; watu hawakunielewa, sasa huyu anateuliwa leo kesho anafanya madudu ya ajabu!
ona kama huyo "very hovyo!"
 
MBONA WAZIRI NA WATAALAMU WENGINE WALITAARIFIWA NA WAKASHIRIKISHWA WAKATI WA PRESS. SASA MH RAIS KWANINI HAO HAJAWATUMBUA AU KWAKUWA ANAICHUKIA FAMILIA YA MZEE MALECHELA AKAONA ATUMIE WASAA HUU KUMUANGAMIZA DADA MALECHELA
Kama nimeelewa vizuri saga hii ni kwamba utaratibu wa ripoti kama hizi ambazo implication yake ni kubwa haukufuatwa kabla ya kutolewa hiyo repoti hadharani.
 
Hawa akina Malecela hawaji kumsahau POGBA walaahh...... Hivi le m bebzz hajaongea kitu.??
 
Hakuna urafiki Wa nuru na mwanga!! Kama hujui laumu huyu mama hicho kijiwe cha komon mtakunywa Na Mkwe nakwambia!!!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom