Dr. Mwele ni mhaini wa uchumi, akamatwe

Mpumbafu mkubwa Sana wewe senzi taipu mwanaharamu wewe, mwana mtoka pabaya, mtoto wa nyoka kabisa.
Watalii wanaiogopa Tanzania sasa hivi Kwa Sababu Uhuru wa habari umebinywa kabisa, mkurugenzi wetu maxence yupo jela Kwa uonevu.
Watalii wanaiogopa Tanzania kutokana na kukosa utawala bora na haki za binadamu leo wewe pimbi unaamka na kusema eti anyongwe mtu anayesimamia kweli.
Yeye siyo chizi kusema kuna zika halafu ikose, unyongwe wewe na mapimbi wenzako na familia yako.
Umenikera Sana pimbi wewe.
Yaani unashindwa kuongelea habari za Melo uonevu aliofanyiwa na mafisadi ambao wanataka habari zao zisiandikwe halafu unakuja kumtuhumu shujaa eti anyongwe?
Zika ilikuwepo Uganda, itakosaje Tanzania?
Unataka inee nchi nzima ndo ujue ipo?
hata Kama ni mtu mmoja alionekana anayo ndani ya nchi, tayari inatosha kusema ipo.
Watalii na wawekezaji hawaigopi zika, maana inatibika na ina kinga ila, ila utawala kandamizi na ubinyaji wa habari ndo mambo yanayotisha wageni.
Sure... ZITA ingempata mtoa mada
 
Unataka ienee nchi nzima ndo ujue ipo?
hata Kama ni mtu mmoja alionekana anayo ndani ya nchi, tayari inatosha kusema ipo.
Watalii na wawekezaji hawaigopi zika, maana inatibika na ina kinga ila, ila utawala kandamizi na ubinyaji wa habari ndo mambo yanayotisha wageni.
Voted as best Comment of this Week.......!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
umenikumbusha kisa cha tezi dume, mwingine alitangaza analo tena tukamdhihaki na kusema ni busha watu wakajitokeza wakamtibu akapona na leo tunae, mwingine akalificha kwenye suruali akatutangazia pale tabora kuwa yeye yuko kheri ila mwenzie ndio mgonjwa leo hatunae nani mjanja hapo? Dr.mwale kasema kuna kaswende sisi tunasema hatuna tena anayetuambia hatuna hata unesi hajawahi pitia na sie tunachekelea nani mjinga hapo? basi huyu jamaa atutangazie kuwa ZIKA ipo ndio tuamini.
d581d573e02781080979cc97cdb6d584.jpg
Yaani tumeruhusu Siasa zitawale hata kwenye mambo muhimu kama afya za wanadamu
 
Wakuu Salamu kwenu.
Kwanza nampongeza Rais kumtumbua huyu mama, ZIKA haikutakiwa kutangazwa kienyeji namna ile , akamatwe na anyongwe kwa kulisaliti taifa letu.
Unaijua vema siasa ya tanzania?nenda polepole utaelewa mbeleni mkuu,
 
jadilini huu uzi ,Lakini mzingatie kuwa kati ya watu wanne mmoja ni kichaa, Hivyo kati ya waleta Uzi humu jamiiforum mmoja wao ni kichaa, Sasa mi sijui kama mleta Uzi ndiye huyo mmoja wapo kati ya wale wanne?
 
umenikumbusha kisa cha tezi dume, mwingine alitangaza analo tena tukamdhihaki na kusema ni busha watu wakajitokeza wakamtibu akapona na leo tunae, mwingine akalificha kwenye suruali akatutangazia pale tabora kuwa yeye yuko kheri ila mwenzie ndio mgonjwa leo hatunae nani mjanja hapo? Dr.mwale kasema kuna kaswende sisi tunasema hatuna tena anayetuambia hatuna hata unesi hajawahi pitia na sie tunachekelea nani mjinga hapo? basi huyu jamaa atutangazie kuwa ZIKA ipo ndio tuamini.
d581d573e02781080979cc97cdb6d584.jpg
Hii picha mbona haviendani na maelezo yako kamanda au una ujumbe mwingne kwa nin jamaa ni kiongoz imara
 
Nafikiri ukweli wa kisayansi utajulikana tuu baadaye, hatuwezi kuifanya zika iwe ishu ya kisiasa kama ipo ipo na na kama hakuna zika hakuna, time will tell.
 
Tuache kumuongezea maumivu ya kutumbuliwa mama wa watu siyo adui wa Taifa though kaharibu kazi
 
Hakutumia heka kutangaza jambo zito hvyo. Mbona WHO wamesema Tanzania haina ZIka?. Au katumwa huyu mama.Au kapata Kazi nje anatafuta gia ya kuondoka. Lakini kwa mini uondoke umekata mkono uliokulisha . Kama comedy hivi.?
 
Wakuu Salamu kwenu.
Kwanza nampongeza Rais kumtumbua huyu mama, ZIKA haikutakiwa kutangazwa kienyeji namna ile , akamatwe na anyongwe kwa kulisaliti taifa letu.
Maneno mazito sana... Binadamu wote tunakosea ameshaadhibiwa basi tumuache apumzike
 
Hakutumia heka kutangaza jambo zito hvyo. Mbona WHO wamesema Tanzania haina ZIka?. Au katumwa huyu mama.Au kapata Kazi nje anatafuta gia ya kuondoka. Lakini kwa mini uondoke umekata mkono uliokulisha . Kama comedy hivi.?

WHO hawajasema hakuna! Bali wamesema hawajapata taarifa!!!!

Ma mtoaji Taarifa ni MOH
Ambaye tetesi zinasema alikwishapewa taarifa kabla!
 
Madhara ya kufanya kazi kwa mazoea ndo taabu yake hii.
Maana ata WHO wao hawatambui kuwa Tz kuna ZIKA sasa sijui uyu mama katoa wapi haya mamlaka ya kuitangazia dunia kuwa Tz kuna ZIKA.
Labda ana bifu na kampuni za utalii Tz ili zikose mapato na sijui atapata faida gani
 
Back
Top Bottom