Dr. Mwakyembe yuko fit sasa.....?

na hapo unahisi kapelekwa kwa machela? kule kijijini kwetu ungeitwa 'mchawi'
huyo jama bado anaumwa tena sana....wakati anatoka tanania aliuwa anatembena nakuongea vizuri tu...msione picha hiyo mkadhani amepta nafuu...bado anaumwa sana....
 
  • Thanks
Reactions: Ame
ww nawe! what is god got to do with the radioactive poisoning?
He is just on respite but he can't escape fatal effects of Pollonium. The peculiar feature of radioactive material is their ability to destroy body cells slowly before causing body death. God has acted so deferently to award him hiatus to allow him confess his evils and thereby absolved to have a room in God's kingdom.
 
Pichani Dr .wa kweli aliye enda shule sio ya kupewa akiwa amepozi na madaktari waliomtibu wa Hospitali aliyolazwa
DSC_7029.JPG

Duuu !!Kwa kiwango cha madakitari ni lazima magonjwa ya Mwakyembe yapone tu, naimani hata Kambarage kama angekuwa na madikari kama hivi ndio wanamtibu basi tungekuwa nae leo hii
 
Hospitali inapendeza hata mgonjwa ukiingia unaanza kupata nafuu kwa mandhari tu..sasa wajenge hosp kama hivi hapa kwetu jamani mbona inawezekna tu?!

Nakumbia mkuu hapa Australia wenyewe wanakwenda india ingawa hapa matibabu ni bure wakati mwingine inabidi uwe kwenye waiting list kama si ugojnwa wa kuhitaji matibabu ya ghafla ya kama Dr mwakembe lakini huwa wanenda holiday India na kupata matinbabu ya aina mbalimbali kwa mfano kumpandikiza mimba mwanamke asiye mkeo ili akuzalie mtoto kule India ni $25,000 wakati australia au Marekani ni $ 120,000,000. India wanaogopeka kwa sasa.
 
Our lord has been faithful to us,and he is still faithful to date. Let us all praise his name amen. Mungu akuimalishe zaidi Mwakyembe.
 
Mungu ni Mkuu na mwenye huruma. Ni muweza wa yote yaliyoshindikana. Dr. Mwakyembe, Mungu akuponye na uweze kurudi kwenye majukumu yako ya kila siku. Damu ya YESU isafishe kila lililo baya katika damu yako ("DAMU YA YESU HUSAFISHA KABISA"). Ame, You real inspired me. GOD IS ABLE.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Duuu !!Kwa kiwango cha madakitari ni lazima magonjwa ya Mwakyembe yapone tu, naimani hata Kambarage kama angekuwa na madikari kama hivi ndio wanamtibu basi tungekuwa nae leo hii

Wacha kuingia choo kisichotumika wewe,
wengine hapo manesi na wafagizi tu!!!
 
Back
Top Bottom