maskini lakini kachoka. Mungu akunusuru urudi uje ujenge taifa.
Lakini inafurahisha kumuoa akiwa katika sura yake halisi na furaha anayoionyesha shemeji yetu hapa ni ushahidi tosha kwamba amepata nafuu. MUNGU ni mwema na ametenda makuu. Mungu akubariki na kukulinda urudi nyumbani ukiwa na afya njema.