Dr. Mwakyembe yuko fit sasa.....?

Mbona madaktari wengi sana, ukifuatilia vizuri wako kama 30 hivi...Wamegundua tatizo ni nini. Pengine wanatuona watu wa ajabu pia. Upone naibu waziri na (MB) wetu.
 
Nakuombea kwa mungu upone.

Ukirudi Tanzania upunguze unafiki.
 
Mbona madaktari wengi sana, ukifuatilia vizuri wako kama 30 hivi...Wamegundua tatizo ni nini. Pengine wanatuona watu wa ajabu pia. Upone naibu waziri na (MB) wetu.

Kwenye cases complicated kama hizi, na katika hospitali kubwa kama hii ya appolo, hapo kuna madaktari aina mbili au tatu. 1. Madaktari bingwa mahiri (Super specialist doctors). 2. Madaktari bingwa (Specialist doctors) na 3. Madaktari wanaosomea udaktari bingwa au udaktari bingwa mahiri (Resident doctors or super specialist resident doctors) 4. Wanafunzi wa udaktari wa shahada ya kwanza, bila kusahau wauguzi.

Elewa kuwa wengine wanakuwa wapo mafunzoni.
 
 
Jamani mwenye taarifa aweke wazi kuhusu afya ya huyu Mwanasheria wetu, na iwapo kweli kapona au hiyo ni pix tu! Ilikuwa vipi wakapiga picha na mgonjwa mbona wengine hawapi nao? na je huyo Mzee wa Kiafrika aliye karibu na Dr Mwakyembe ni nani mbona kama ..., au muhambata? Lakini huyo Mhambata jamani hajazitisha miaka au wazee wa Kinyakyusa pia walienda Apollo kumuona kijana wao?

Mwakyembe tunamwoombea sisi sote wapenda mapinduzi maana yeye ni mwenzetu hata kama tunatofautiana dini na vyama lakini malengo yana tukutanisha pamoja, Mungu akuongezee Umri uitumikie nchni yako.
 
Pole sana Dr. upone na urudi nyumbani salama.Mungu anakupenda sana na kupitia kwako anawaonyesha magamba kuwa mwisho wao upo karibu.
 
huu ni ufisadi .mtu anapata allergy to anapelekwa india..khaa..!!halafu anauza nyago kwa kupiga picha na wanakijiji wa india SOB
 
 

Amina! Jesus is God! wasioelewa hili wanyamaze through the might Name of Jesus Christ.
Maana naogopa wasioelewa wanaweza nunua kesi isiyo yao! Mstaarabu huwa akiona jambo asilolijua huuliza kwa nia njema aeleweshwe, akishindwa hunyamaza a
sionekane kituko.
 
Reactions: Ame

Una busara inaonekana shule unaijua! Hongera
 
Mmmmmmh Mwita25 hii lugha hapa umeipatia vizuri!!kwa kweli kama ni shuz hapo limepata mjambaji....
 
huu ni ufisadi .mtu anapata allergy to anapelekwa india..khaa..!!halafu anauza nyago kwa kupiga picha na wanakijiji wa india SOB

Wachafuzi wa hali ya hewa kwenye kila thread huwa hawakosekanagi, hapo kuna tatizo gani kwa mgonjwa wa hali aliyokuwa nayo Mwakyembe kukimbizwa nje ya nchi ili kunusuru maisha yake???? Nyinyi ndo wale mnaokataa kuchangia kumuuguza mgonjwa then akishafariki mnatoa rambirambi kuuuuubwa tena kwa mbwembwe ili kupata misifa kwa waliohudhuria msibani. ACHA ROHO MBAYA, USIPOBADILIKA UZEENI UTAKUWA GAGULA WEWE. Fedha zinatafutwa, maisha hayatafutwi. Ungekuwa unataka kupinga ufisadi ungepinga Malipo ya Dowans, Ufisadi wa Meremeta, Deep Green, Tangold, Kagoda n.k. Kwa kazi aliyotufanyia Richmond, anadeserve kuhudumiwa sio tu India, Hata USA.
 
Mbona madaktari wengi sana, ukifuatilia vizuri wako kama 30 hivi...Wamegundua tatizo ni nini. Pengine wanatuona watu wa ajabu pia. Upone naibu waziri na (MB) wetu.
Nini kinakutatiza hapo???Sio kila anayefanya kazi hospitali ni Daktari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…