Mkuu hakuna utetezi sana hapa bali utanielewa vizuri zaidi pale mwisho. Maana haya mswala ya posho mbili yameenea sana Serikalini. Ninaimani hakuna atakayepona katika hili si ofisi ya raisi si ofisi ya waziri mkuu. Uchunguzi wa kina ukifanyika double payments zipo za aina nyingi sana! Ni nani atakayekwenda kuchunguza Ofisi ya Waziri Mkuu?, Ikulu? Ni Hosea?? Ndiyo maana watapigana kufa na kupona kisiingie chama kingine kushika usukani wa Serikali. Na kama itatokea tukiwa hai nakuomba ukumbuke hii thread wakati madudu yatakapokuwa yanafumuka.Mtu yeyote anayechukua posho mara mbili kwa kazi ile ile anafanya makosa bila kujali ni rais wa nchi, waziri, mbunge au diwani wa kata.
Tusitetee mtu hapa na badala yake tutetee sheria. Kama kwa kupambana na mtu mmoja serikali imefungulia mkondo wa maji, hilo ni jambo jema kwa taifa maana ni nafasi ya kuwaumbua wote wanaofanya hivyo.
Nashangaa kuna watu wanakuja hapa na kusema kuchukua posho mbili sio kosa, inaonyesha jinsi Watanzania tunavyoshindwa kuelewa na kuheshimu sheria na maadili.
Hata kama PCCB ni wabovu mno lakini kweli utawalaumu pale wanapoamua kumhoji mtu ambaye amefanya kosa?
Tunajua polisi ni wala rushwa, kweli utawalaumu siku wakiamua kukukamata kwasababu umekula rushwa?
Ukitenda kosa usitafute mchawi na badala yake mchawi ni wewe mwenyewe. Mtu yeyote anayepigania jambo fulani lazima ajiangalia kwenye kioo na kuona yeye mwenyewe ni msafi, vinginevyo wabaya wake watammaliza na hilo ni kila sehemu hapa duniani.
.Samwel unashangaza JF yote, maana inaonekana wazi unachuki na hawa wabunge mahiri tena wa kwanza nchini kutoka chama cha mafisadi. Tulia kidogo ungoje watakayoyafanya na kufichua pale TAKUKURU watapomaliza kuwahoji au kuwatishia. Itaanza movement ya aina yake ambayo hizi posho zote zitabidi zianikwe ndipo na Ikulu itakapochafuliwa. Wabunge hapa wamejikuta wameingizwa mjini lazima wote wakubali. Maana walizidiwa ujanja pale walipopitisha mswada wa kuanzisha TAKUKURU lakini hawakujua kuwa wamemwongezea tena mkono mrefu Rasi, hawakuweza kuweka hata kipengele kuwa wao ndiyo wamchague kiongozi wa hiyo taasisi, sasa imewageuka mara ya pili. Ya kwanza ni pale walipojaribu kufukia ukweli wa mambo ya Richmond na sasa kuwahoji kwa nia ya kuwatisha. Wakisha hojiwa wakaja wamepoa wakaacha mapambano kitakuwa kimeeleweka. Na wasipolifanyia kazi swala zima la posho mbili mbili serikalini na nyingine za aina hiyo tutajua kuwa wameshapatiwa kile alichopata mbunge mtegemewa akaanza kutetea Richmond.
.Mkuu hakuna utetezi sana hapa bali utanielewa vizuri zaidi pale mwisho. Maana haya mswala ya posho mbili yameenea sana Serikalini. Ninaimani hakuna atakayepona katika hili si ofisi ya raisi si ofisi ya waziri mkuu. Uchunguzi wa kina ukifanyika double payments zipo za aina nyingi sana! Ni nani atakayekwenda kuchunguza Ofisi ya Waziri Mkuu?, Ikulu? Ni Hosea?? Ndiyo maana watapigana kufa na kupona kisiingie chama kingine kushika usukani wa Serikali. Na kama itatokea tukiwa hai nakuomba ukumbuke hii thread wakati madudu yatakapokuwa yanafumuka.
.Afadhali amekubali maana angeendelea kubisha yangemkuta yaliyomkuta Sendeka wangempa kesi ya kukataa amri halai ya kuitwa kuhojiwa.
Bravo Mwakyembe umekwepa mtego wa mafisadi
Wanaangalia jambo linalouza gazeti tu hao !
sasa imethibitika na kubainika kua iliandikwa Buchanan ulitaka kutudanganya ?
.Kwa hiyo kukataa kwake kulikuwa tu geresha! Presha kidogo tu kabend! Ha ha ha ha ha! Ndio kamanda wa vita against ufisadi - my ass
Kwa hiyo kukataa kwake kulikuwa tu geresha! Presha kidogo tu kabend! Ha ha ha ha ha! Ndio kamanda wa vita against ufisadi - my ass
Kwa hiyo kukataa kwake kulikuwa tu geresha! Presha kidogo tu kabend! Ha ha ha ha ha! Ndio kamanda wa vita against ufisadi - my ass
Nafikiri kama mwanasheria anajua anachofanya.