mitusi yote hii ya nini ndugu yangu............................
mbona akina lowasa,rostam na kikwete walijiundia kampuni hewa wamechota pesa mpaka wamechoka tunatumbua mimacho tu akina hosea wanaficha ukweli afu wanataka kuwachunguza walioleta ukweli....................sembuse hutu tujisenti twa akina mwakyembe...........
unajua inauma unapoona pccb hawawwezi kubaini wizi mkubwa uliowazi ila wanaweza kubaini tuposho aibu..............mwandishi una chuki binafsi........tutakuja kutoana macho hapo baadaye......................
japo mvumilivu hula mbivu.....................................
mi namuona muoga na mjinga kabisa maana mbwembwe zote zile za kuwatunishia misuli PCCB leo anakubali kuhojiwa...hana maana kabisa kabisa
Kama haukuwa mtaji wa kisiasa kwa nini kuna mambo ambayo hakupenda kuyatoa kwenye ripoti ya Kamati teule ya Bunge? Aliyaacha kwa manufaa ya nani?ulikuwa mtaji wa kisiasa
.
Aliambiwa tangu mwanzo kuwa hakuna aliyejuu ya sheria?Yeye akaleta u richmond .Ohoo mbona mwenyewe pccb walinipa posho .ohoo.mimi mwanasheria niliye bobea.ohooo mbona waandishi wa habari wanakunywa chai yetu.Ujinga mtupu.Mnakula pesa za wananchi halafu mnajifanya waasafi.Pumbavu.acha sheria ichukue mkondo wake.
Tupe source ya hiyo information. Kama huna basi utakuwa kwenye pay roll ya rostam
Ana ujasiri kama ule wa mama Simba..Acha chuki zisizokuwa na msingi. Mwakyembe ni wale wanasiasa ambao ni daring, jasiri asiye na woga anayetetea maslahi ya taifa lake. Labda upate nafasi ya kuongea naye ana kwa ana utabadili mawazo yako. What is PCCB si chombo tu cha Serikali kama vyombo vingine?
Sasa ukilipwa posho mbili au tatu na vyombo vya serikali kwa hundi za serikali, Rushwa iko wapi hapo??? PCCB mandate yao ni ipi???
Ili si suala la administration tu, Waziri mkuu angetoa mwongozo kuwa kuanzia sasa serikali na mshirika ya umma yatalipa posho moja tu, sio suala la rushwa ili.
PCCB fanyeni kazi yenu, mkitaka kujua rushwa nendeni Tanesco, polisi, BOT, mahakamani, nk
mi namuona muoga na mjinga kabisa maana mbwembwe zote zile za kuwatunishia misuli PCCB leo anakubali kuhojiwa...hana maana kabisa kabisa
Hatimaye mpiganaji ameamua kutii Sheria ya Nchi ambayo ameshiriki mwenyewe kuitunga? Halafu siku hizi haongei sana kwa kuwa kitu kilichompatia umaarufu, Richmond, kimewekwa kapuni, kwa hiyo mtaji wa kisiasa ume-expire?
Kama haukuwa mtaji wa kisiasa kwa nini kuna mambo ambayo hakupenda kuyatoa kwenye ripoti ya Kamati teule ya Bunge? Aliyaacha kwa manufaa ya nani?
Taarifa nilizozipata kutoka nyumbani Tanzania zinaeleza kwamba makamanda wawili maarufu wa vita ya ufisadi, Dk. Harrison Mwakyembe na Fred Mpendazoe, wamehojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Takukuru juzi kuhusiana na suala la posho mbili za wabunge.
naomba kuwasilisha
SPIKA wa Bunge Samuel Sitta amemtetea Mbunge wa Kyela, Dk Harrison Mwakyembe kwamba, ana haki ya kutokubali kwenda katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhojiwa kwa kuwa sheria na kanuni za Bunge hazimlazimishi.
Taarifa nilizozipata kutoka nyumbani Tanzania zinaeleza kwamba makamanda wawili maarufu wa vita ya ufisadi, Dk. Harrison Mwakyembe na Fred Mpendazoe, wamehojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Takukuru juzi kuhusiana na suala la posho mbili za wabunge.
naomba kuwasilisha
je wewe kama wewe ulitaribu uthubutu alo utenda japo punje ya ulezi? Sifia panapostahili .ok mungu atakutoa huko gizini ulipo akulete kwenye mwanga ili upambanue cheupe na cheusi.mi namuona muoga na mjinga kabisa maana mbwembwe zote zile za kuwatunishia misuli PCCB leo anakubali kuhojiwa...hana maana kabisa kabisa
watu kwa kweli wana matatizo; tatizo halikuwa Mwakyembe kuhojiwa na TAKUKURU; tatizo lilikuwa huwezi kuwa subpoena wabunge wakiwa kwenye kikao ni kinyume na Katiba! Alipoingia AG mpya aliwatumia ujumbe kina TAKUKURU kuwa hawawezi kufanya hivyo na ndio HOsea akakimbia Dodoma maana kingemuungulia na ndio sababu wao kusitisha uchunguzi wao hadi kikao kilipoisha.
Nje ya kikao cha Bunge unaweza kumuita mbunge kumhoji kirahisi tu!