Ni vema kufikiri pande zote. Bei zilizopo zilipangwa mafuta yakiwa na bei ya wastani wa lita moja shs 1500/- Sasa ni wastani wa shs. 2100/-. Kodi zote zimependishwa kwa wastani wa asilimia 200% tangu pale. Vipuli na matairi ndo usiseme. Hawa wenye daladala nao ni Watanzania wanaofanya biashara! Kupandishwa nauli ni kitu ambacho hakikwepeki. Na ukweli ni kuwa imepandishwa kwa kiasi kidogo sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.