Tungekuwa na Wabunge tuliowachagua kihalali basi hao hao Wangetutengenezea Katiba Mpya ila ndio hivyo tena ni Wabunge wa Magufuli

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Kama tungekuwa tumewachagua kihalali kabisa maana yake kila Mwananchi angekuwa yumo bungeni hivyo Bunge la JMT lingejigeuza kuwa Bunge la Katiba na kutuandikia Katiba mpya

Ila ndio kama alivyosema Askofu Dr Bagonza PhD kwamba Wabunge Wenyewe wanashangaa wamefikaje bungeni 2020 na Wapiga kura nao wanawashangaa Waliwachagua lini!!

Katika hili Shujaa Magufuli alitutenda!
 
Askofu yuko sahihi, umuulize Leo mwana FA alipata Kura ngapi hakumbuki maana Kura za Jimbo lake zililingana mpaka nukuta na Kura za Jimbo la Namtumbo.
 
Back
Top Bottom