Elections 2010 Dr Mwakyembe aambiwa apumzike maamuzi tayari

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Wananchi wa Kyela wameuambia ndugu Harrison kitambo tuu kuwa apumzike aachane na kampeni bse kura za ubunge ameshazipata.

Na kuhusu uraisi wana kyela walimwambia kuwa yeye ubunge sawa ila uraisi ni kwa Slaa kwa sababu JK hajatekeleza baadhi ya mambo yao kama kumuondoa Mkuu wa Mkoa ambao ni chanzo cha mitafaruku mkoani Mbeya
 
How abouts Madiwani's maana Dr haombi kura zake tu.
 
Tatizo linalomkuta Mwakyembe ni kuwa katika mikutano yake akimtaja JK tuu inakuwa nongwa Kampeni za madiwani zinaendelea.
Unajua misimamo ya wana Kyela ndo inachangia iyo hali.
Kama hawakutaki wanakwambia so unakaa chonjo mapema na kama hautaki wanakutenga
 
hawa jamaa wa kyela inaonekana wakofit upstairs kuweza kuwa na maamuzi sahihi kwa kuona mbali sana hasa kwa kutambua utendaji mzuri wa mzee aliyefukua Richie mondi na pia kuutambua kuwa ni wakati wa kumpa nchi Dr Slaa ili arekebishe,
hongereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeni wanakyela
 
Unajua kura ni sili ila madr kwa madr wanajuana hawa.
 
kiukweli mi namkubali sana mwakyembe the harry,, jamaa uko mmakini na anajua nchi inataka kwenda wapi...kazi walofanya na slaa inamwongezea heshima.. Wanakyera tuitunze heshima hiyo kwa kuwaunga mkono wapiganaji hawa wawili(slaa na mwakyembe)
 
Wananchi wa Kyela wameuambia ndugu Harrison kitambo tuu kuwa apumzike aachane na kampeni bse kura za ubunge ameshazipata.
Na kuhusu uraisi wana kyela walimwambia kuwa yeye ubunge sawa ila uraisi ni kwa Slaa kwa sababu JK hajatekeleza baadhi ya mambo yao kama kumuondoa Mkuu wa Mkoa ambao ni chanzo cha mitafaruku mkoani Mbeya

Mwakyembe angefaa sana kuisafisha CCM lakini sijui kama atapewa hiyo nafasi labda CCM iparaganyike!!
 
wanambeya hawawezi kumpigia JK wa uongo kwa kuwa ukoo huo umechukua uchifu toka kwao kwa kashafa huwezi kuwa na machifu wawiwili toka ukoo moja kwa wakati moja baba na mwana
 
safi sana hao wananchi wamechukua uamuzi wa busara lakini watimize uo usemi wao "Mwakyembe kura tatakupa,KIKWETE :nono: NO" ha ha ha ha ha ha ha ha safi sana
 
Wananchi wa Kyela wameuambia ndugu Harrison kitambo tuu kuwa apumzike aachane na kampeni bse kura za ubunge ameshazipata.

Na kuhusu uraisi wana kyela walimwambia kuwa yeye ubunge sawa ila uraisi ni kwa Slaa kwa sababu JK hajatekeleza baadhi ya mambo yao kama kumuondoa Mkuu wa Mkoa ambao ni chanzo cha mitafaruku mkoani Mbeya

Gwe Fiki?
Nafimo- Utwa Mbombo Lelo?

Ahsante Mkuu NJOWEPO
 
Kyela tayari walishaamua kumwadhibuuu JK kwa kura..wamemwelewaa alivyowadharauuuuuu....
 
Back
Top Bottom