Mimi binafsi naona Dr anawaangusha wapiga kura wake kwa yeye kutotaka kusema anaumwa nini na sababu za ugonjwa wake anapo ulizwa. Kwanini hasemi? wapiga kura wake wana haki ya kujua.Amewaweka njia panda,wakati wapiga kura wanampenda na wana wasi wasi na afya yake.Hapa inaonesha Dr hawajali wapiga kura wake kama wao wanavyo mpenda na kumjali.Hayo ni mawazo yangu.Je wengine mnafikiria nini?
Unataka aseme mara ngapi,kabla ya kwenda india alishasema amewekewa sumu
Ni bora aseme mapema kabla haijawa too late.That could be a well calculated move. Or else, uchunguzi unaendelea. Hawezi kukurupuka na kuanza kuongea na kutaja majina ama vitu. Kuna faida zake kupambana na adui yako ukiwa gizani, anabakia na maswali how much do u know already..
So wapiga kura, tulizeni mzuka
Wapiga kura na Wa tz wote tumwombee..
Unajua nimegundua hata Shetani hawapendi viongozi wetu wenye at least karoho ka huruma na watz..
Siyo vita ya mafisadi tu na shetani yumo...!
Mim hayo tu,ukute hata ye mwenyewe hajui ni nini..
When is too late?Ni bora aseme mapema kabla haijawa too late.