Tembele
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 1,150
- 340
Nimesoma hizo Hoja za Dr. Jembe ni jembe instagram na nadhani Dr. Mwaka Atupe majibu Tafadhali.
Ndugu Mwaka ni Tone katika dimbwi la Tatizo linalohitaji mjadala mpana na solution zake.Maswali Magumu Na ya kitaalam yaliyoibuliwa na Mh. Kigwangala Ni kama ifuatavyo:
1.Baada ya vyeti vilivyosambaa ni rahisi kuona kama anaonewa vile..Lakini Inaonyesha yeye Ni Mhitimu wa Cheti cha Mafunzo tena Ya Red Cross..Tena Ya China. Authority ya ku represent kama expert anetoa Wapi?
2.Ukitizama chiti /Cerificate details inaonyesha Mafunzo aliyopata No BASIC..Sio speciality,Wala expertise
3.Cheti cha Kutoa Huduma kinazungumzia Traditional and Altenative treatments..Maana yake Ni Tiba mbadala Na Tiba za Kitaalamu(Medicine).
4.Uzoefu wa Bwana Mwaka Ni Mwaka Mmoja Kama Jina Lake..maana amemaliza 2014 hiyo course ya Msingi(Basic course)Kwa hii Elimu ya Msingi ya Tiba mbadala ..Je amepata wapi Locus (in Legal terms) Au Authority ya kuchambua Viungo Vya Kinamama.?
5.Waliotembelea kituo Foreplan wanasema Kuna Vipimo,Na hata uchunguzi wa kitaalam;Damu na Physical examination(Kuyizama maeneo ya Uke wa kinamama ili kugunzua dalili za tatizo(Vaginal Examination)..Kwa Elimu ya Msingi Nani kampa mamlaka Hayo.?
6.Kuhusu Uwezekano Wa Kuajiri WATAALAM WA MODERN MEDICINE: Wengine WAMEDIRIKI KUSEMA eti hata kama Hana Vigezo Stahili au Utaalamu yeye mwenyewe,atakua ameajiri wataalam..KWANZA Kibali alichonacho Ni Traditional Na Altenative Health Practice...Yaani Tiba asilia na Mbadala..Jiulize Mbadala wa Nini? Jibu:Mbadala wa Modern Medicine Ya Miaka Minane Ya kitaalam. KWA HIYO KWA KIBALI HICHO ASINGERUHUSIWA KUAJILI DAKTARI YEYOTE. kwanza Daktari gani Mtaalam angeenda kutoa huduma kwenye serting kama hiyo?Kama yupo Ndio Maana Walikimbia..Au kama Yupo basi sio wa Level ya Medical Degree..Lakini sidhani. Na sheria hairuhusu. Na Ni dunia tofauti haviendani.
7.Vifaa wanavyotumia ni vya kitaalam Na sio vya Tina asilia..wakati Utaalam Hawana..Mfano Mwaka anajo represent amevaa STHESOSCOPE most of the time ..Jamani..Kwa cheti cha mwaka.Tena Utashangaa Cheti kapewa 2013 Lakini Tradirional Chinise Medicine course Ya Msingi amemaliza 2014. (JIBUUUUUUU)..Unless kuwe na Vigezo vingine vya Usajili(Nitafuatilia niwajuze).
8.Kuhusu MH.KIGWANGALA: Sio kwamba Namtetea Lakin in real sense Yeye Ni Mtaalam Wa Afya.A qualified Medical Doctor aliewahi kuwa Mstari wa mbele kupigania Maslahi ya Madaktari. Anajua some of the challenges na majipu ya secta ya Afya.Napenda kuamini maamuzi yake..na sio kwamba amefunga au kuzuia kituo..Amekagua kwa Ziara ya Ghafla kama ilivyo kawaida ya Serikali hii mpya..Then ameagiza vyombo husika Kuchunguza na kumletea report..na Mwaka kujisalimisha Wizarani.Baada ya hapo atachukua hatua stahili and im sure zitakua zile ninazoziwaza mie.
9.Mjadala Huu Unaibua Hoja zinazopelekea Kutizamwa upya sheria ya Tiba za Asilia na Mbadala na uhalali wa Matangazo..in terms of content Na approach ya utangazaji.Pia Umuhimu wa Kuimarisha Huduma Ya Afya Ya Uzazi kwa kina Mama na Kina Dada ambao wanakua Desparate kiasi cha kumuamini mtu yeyote.Jamani:Maeneo ya Uzazi ni maeneo Sensitive sio pa kuguswa Na kuchunguliwa hovyo.Ndio wote tumetoka huko tupaheshimu Na tuache ushabili tuangalie facts na tuendelee Kutumbua majipu kwa kutumia Utaalam sheria na Taratibu.
10.Tuambie umejifunza Nini na Mjadala uendelee ..zingatia Facts na taaluma..