Loo mm mwenyew sikuponaga pale. Lak na 60 yangu kaila
We mgumba kwahiyo??
Umesikia watu wote wanao enda kwa mwaks ni wagumba?
Ooooohh samahani sana.. Pole nadhani tatizo limeisha sasa
Dr. Preta! Mwaka amefanya makosa katika utambulisho wake..
1) Angejinasibisha ni mtaalamu wa Tiba Mbadala kama Mkuu Mzizi Mkavu wa JF
2)Mwaka picha nyingi ninazoziona kwenye mitandao na matangazo amening`iniza stethoscope shingoni... sidhani kama anajua hata kuitumia ? Heart sounds takes years of practice kuzi master ndio maana medicine ni miaka 5 mpaka 6
3)Anapicha nyingine amebeba kitabu cha Obstetrics and Gynecology yeye ni mtaalamu wa tiba mbadala hicho kitabu ni cha nini ? amefika mbali na kujinasibisha ni Mtaalamu wa magonjwa ya kina mama ... jamani! kuwa gynecologist lazima uende Medical school miaka 5 mpaka 6 , ufanye mwaka mmoja wa internship then urudi shule ku specialise miaka 4 tena... mwaka yeye amefanya training ya mwaka mmoja na red-cross china anajiita gynecologist ????
4) Pelvic Exam, kufanya uchuguzi sehemu za siri za kina mama na dada zetu "ONLY A QUALIFIED PHYSICIAN NDIO ANARUHUSIWA JUST INCASE IKATOKEA SEVERE BLEED , A PHYSICIAN WILL KNOW HOW TO INTERVENE " Sidhani Mwaka kama anaweza kushona hata kidonda..
5) Unapofanya pelvic exam kuna some modern equipment's zinatumika again only certified physician ndio anaruhusiwa kuvitumia ... mfano kama mwana mama ana matatizo ya kizazi kumbe she has Carcinoma of the cervix, most of CAX ukigusa tu zina bleed ,, je mwaka ana blood bank pale clinic yake ?!! JE IKATOKEA MGONJWA AMEFARIKI WAKATI MWAKA AKIFANYA PELVIC EXAM UNAJUA ITAKUWA NI MURDER CASE ?! SABABU MWAKA HE WAS NOT TRAINED KUTOA HIYO HUDUMA.
MWISHO
Mimi sina neno na Mwaka! ila tu arudi kwenye misingi yao ya tiba mbadala na asifanye utatibu kama wanavofanya madactari wa modern medicine including kufanya Pelvic exam...
Kuna watu wanacomplain mbona kikombe cha babu watu walitumia ... well babu hakuvaa stethscope , babu hakujiita gynecologist, babu tiba yake ilikuwa ni kiimani zaidi...
hata sisi waislam tuna wataalamu wetu wa tiba za kissuna huwasikii wakijitangaza ni ma gynecologist wala kufanya uchunguzi wa kizazi kama mahospitalini wanavofanya...
Mwaka amshukuru sana Mh.Dr. H. kingwa! sababu ingefika siku mgonjwa akafariki basi mahakamani angehukumiwa kama muuaji sababu si tabibu aliyekuwa trained kufanya yale anayo yafanya ...
Namba kusaidiwa me nimjamzito wa week34 nawasha ngozi yamwili nimeshaenda hospital ila dawa hazinisaidi
Naona sasa kila mwenye mdomo anaonesha ujuzi wa kuongea.
Mkuu, naomba nikukumbushe kuwa tule uthubutu alionao Dk.Mwaka hao mnaowasifia pamoja na miaka mingi chuoni wameukosa. Hata km the so called Dokta Mwaka amekosea, the motive behind all these debates ni kutafuta umaarufu na WIVU WA KIKE.
Hivi, kuna mtu anaweza kwenda kutibiwa sehemu kwa kuwa tu ameona dokta amevaa sijui kitu gani shingoni?
Mara ngapi huyo Mwaka kwenye vipindi vyake anarudia na kurudia kuwa yeye ni Mtaalam wa tiba zenye kutumia mimea na matunda?
Akili za namna ya hili jopo lenu la wivu wa kike na ushabiki ndio zinatuletea mauaji ya albino, sbb mnaamini traditional clinic uchunguzi unapaswa kufanywa na RAMLI kumbe mmesahau kuwa Modern Traditional Clinics zimeboreka.
Unatoa hoja ya kijinga kijinga hapa ukisahau kuwa, Kigwangala and co wanafahamu fika kuwa, baada ya serikali ya CCM kushindwa kuboresha huduma za afya kwa miaka 50+ ya Uhuru, kuna idadi kubwa ya kinamama vijijini wanajifungulia kwa WAKUNGA WA JADI ambao hata hicho cheti cha Red Cross hawana, hao mbona wanaitwa Midwives, uliwasomesha wewe?
Tuache kutafuta sifa za kijinga na ubiiiiingwa wa kuongea. Kinachowafanya muache kazi zenu ni kwa kuwa tu Dk Mwaka amefanikiwa lkn km kuna kazi ya maana inafanyika hapo si kweli. Waziri apeleke mswada bungeni kuomba zile Ashok Leyland za polisi zibadilishwe matumizi na kuwa ambulance vijijini. Wanaoenda kwa Dk Mwaka hawajafungwa kwamba, wanaenda kwa kuwa ukienda Zahanati ya Kigogo dktari ni mtoto mdogo ambaye we unaongea naye ye anachat na simu
Hayo yaliwezekana wakati wa Utawala wa Kikwete na yalifanyika zaidi ya Hayo na kama uchunguzi hautafanyika yataendelea kufanyika.
Huku Kwetu Waganga wa Kienyeji wanalaza Wagonjwa na wanazalisha
Kumbuka ya Loliondo hata Mangufuli alienda kunywa Kikombe
Watu walitolewa Hospitalini akiwemo Edward Hosea wakaenda Loliondo na hilo ni tusi kubwa kuliko kuchunguza Uke
Jambo la Msingi akina Mwaka ni Washirikina na wanakimbilia Kwenye Uke kwa Sababu za Ngono Tu!!
mkuu mtaalamu wa tiba mbadala haruhusiwi kufanya zile physical examinations anazofanya mtaalamu wa tiba za kisasa.. mwaka hana ruksa ya kupembua uchi wa mwanamke anafata nini kule ?
mi sipingi dawa za asili zinasaidia sana ila asivuke mipaka yake ....
Loo mm mwenyew sikuponaga pale. Lak na 60 yangu kaila
Pole sana. Njoo nikutibu bure
Kumbe ugomvi wooooote huu kisa jamaa anachungulia ikulu...tehe tehe tehe! Kwa hiyo ipo certificate ya kuchungulia papuchi za watu na kama hukusugua masaburi kwenye kiti cha shule hupati hiyo privilege?
Lakini, huku kwenye zahanati zetu ndogo ndogo na vituo vya afya, mbona utaratibu wa kuwavua nguo wakina dada haupo wazi? Maana mtu analalamika tu ana kamuwasho, anaambiwa toa nguo.
Mimi nitakataa ikiwa tu kuna ushahidi wa udhalilishaji lakini kusema hana ruhusa ya kupima hiyo inakosa tija. Nitakwambia kwa nini huo ni ufukunyuku.
Kuna hiki kitu mnaita KIMEO. Ni imani yangu kuwa mtaalam wa kitu hiki ni yule daktari wa PUA KOO na MASIKIO sijui (sina hakika) lakini ukienda kwa tabibu mmasai naye atakukagua koo na kuamua kama ni kirefu cha kukata au ni kidogo tu apewe dawa. Sasa kama wapo watu wanaoweza kuangalia koo na kuamua upasuaji huko mitaani, shida nini ikiwa Mwaka anao utaalam wa via vya uzazi?
Hivi ni kweli utaalam unathibitika kwa vyeti katika nchi hii ya kughushi? Hizi shuhuda za waliopona matatizo ya uzazi baada ya kushindikana hospitali zina ukweli au hhazina ukweli?
Huyu bwana daktari karne, si huwa namsikia akitoa maelezo meeengi juu ya via na muundo na ufanyaji kazi wake, je katika haya anayoyaeleza huwa yuko sahihi au anadanganya? Ikiwa si sahihi, mbona hajaanza kueleza leo? Na ikiwa yupo sahihi, shida ni nini sasa?