Dr Mumbi: IMF met Magufuli and admitted the report on Tanzania's economy half baked

Ndugu yangu.. miradi baadhi inatekelezwa na asasi za kiserikali, wameajiri watu kwa uchache kupita kiasi, mishahara haijaongezwa na bado hata madaraja hawajapandishwa. Huoni kwamba ni automatic kuwa pesa itabaki serikalini na kuachiwa kidogo katika mzunguko wa wananchi, baada ya hapo ni nini kama sio purchasing power kushuka na ikishashuka unategemea inflation ipande !!!!!......

By the way inflation sio mbaya kwa kiasi chote, kuongezeka kwa inflation husaidia wazalishaji kama wafanyabiashara na wakulima kuwa motivated kuzalisha kutokana na prices za bidhaa zao kuwa juu. Au hujui kuwa inflation inaposhuka sana huwakatisha tamaa wazalishaji ???.... This is another case that needs a separate discussion

I'm not against the current regime moves and im not with the online whistle blowers. I'm just a person who try to see the situation as it is
nakuelewa ila sio wewe pekee, ni wengi tu waliozoea kujitafutia za kando sababu mshahara hutoshi ikiwemo wana CCM.
Kuna haja ya kuongeza Mzunguko wa pesa lakini sasa kwa mbinu mbadala sio black market..Mbinu mpya ni viwanda japo zinakuwa kwa kasi ya chini sana
 
Ukifuatilia my previous comments utaona kuwa nilisema. Its not bad at all to use those policies to correct the defficciencies in the economy but lazma waangalie well being ya watu. Yawezekana ni foundation inatengenezwa maana amejikita katika transportation and electricity which i can collectively call them as one of the major setbacks of our economy lakini CAG report imeleta redflags nyingi sana
 
Sasa wewe unataka tuzungumze bila statistics, hayo ni mazungumzo ya kijiweni kwasababu kila mtu atazungumza toka kichwa yake. Nimekupa data za Serikali kuhusu kufungwa kwa biashara, nikakuambia kama una source tofauti tuwekee ili tujifunze kitu kipya, sikusema lazima uziamini, matokeo yake hizi za serikali unazikataa, lakini huna data za kutuonyesha ili tukuamini, kama huna data nyamaza.

Kuhusu kukua kwa Uchumi, IMF wanasema huenda uchumi mwaka huu utakua kwa 4%. World Bank na African Development Bank wanasema utakua kwa asilimia 7%, wawili kwa mmoja, wewe umeamua kumsikiliza mmoja, hicho ni kichekesho.

Kwangu Mimi na huku tunakoishi tunaona maisha yetu yamebadilika sana, watoto wanasoma bure, tumejengewa kituo cha Afya na kimewekewa vifaa vya upasuaji, umeme umefikishwa, barabara wanakamilisha kuweka lami mwaka huu, miradi ya maji ipo katika hatua za mwisho, karibu nusu yetu tuna bima ya Afya, wewe unaishi nchi gani?, rudi nyumbani kumenoga acha lawama zisizokua na msingi.

Hivi wewe bado una imani na serikali hii ya awamu ya 5?

Kama ndiyo basi imepotezwa.

Serikali makini ipo wazi (transparency) kwamba ipo tayari kuulizwa na kuwa challenged na takwimu zake.
Mtu Yeyote anayekataa kukosolewa ni dicteta.

Leo hii serikali ina zuia uhuru wa habari kwa kutunga sheria za kuminya uhuru wa kujieleza.

Leo hii ni marufuku kupinga takwimu za serikali.

Leo hii ni marukufku kufanya utafiti wowote kuhusu nchi hii mpaka kibali cha serikali.

Leo hii ni marufuku bunge la wananchi kuonyeshwa live isipokuwa mpaka habari zichujwe na Bunge.

Leo hii serikali imekuwa ikitumia matumizi ovyo ovyo bila kufuta utaratibu wa kibajeti.

Leo hii hata kama katiba ya JMT inaruhusu Serikali inapiga marufuku mikutano ya Vyama vya upinzani.

Kama wako makini na takwimu zao, kwa nini wanakataa kukosolewa?

Tundu lisu yupo wapi.
Ben saanane yupo wape
Mwandishi Azori yupo wapi.
Mdude yaliyomkuta
nk.

Imefika mabali hata inapinga report za mashirika makubwa kama IMF
Hili la IMF linatokana na hii tabia ya kuficha ficha mambo na uhuru kwa kujieleza/ kuminya ukweli na uwazi.

Hii nchi kwa sasa ni kukaa kimya na kusikiliza kipi kinasemwa na serikali na sio kupinga.

Yajayo yanafurahisha!
 
1103456
 
Ndugu tuweke blind patriotism pembeni kisa tu tupo jukwaa la Kenya. Unless wewe ni wale wanaokula mema ya nchi, hali mtaani ni ngumu na pita kote watakuambia kuwa mzunguko wa pesa umekuwa mdogo...
Pitia data zote utaona kuwa tokea new regime iingie uchumi umekuwa ukikua at decreasing rates. Means ulikuwa unakuwa lakini sio kwa kasi iliyokuwepo. Mimi sipo against new regime maana yawezekana contractionary policies zao wanazitumia kuurekebisha uchumi ambao uligubikwa na black market. It's not a bad thing at all lakini vipi kwa aspects nyingine brother
Kwenye budget yoyote ya nchi ni vyema kuwa na recurrent expenditures kubwa kuliko development budget. Angalia kwetu, most recurrent expenditures huenda kwenye mishahara ambayo kwa mwaka wa ngapi huu haijaongezwa ??... wangapi wamepanda madaraja ???... wangapi wameajiriwa ??...
Moja ya vyanzo vikuu vya mapato ni kodi na mojawapo ni P.A.Y.E je, kwa mishahara hii na ajira, level ya PAYE ni kiasi gani mzee na je huoni kama hii tendency ina impact haswaaa ukizingatia multplier effect katika simple macro-economics. Mbona vitu vingine vipo obvious !!!... contractiomary policies na kukuza uchumi wapi na wapi ???.....
Mambo magumu kwako jombaa
Si wengine tunatamani huyu jamaa aongezewe miaka 20 aendelee kuwa raisi
 
Kwenye budget yoyote ya nchi ni vyema kuwa na recurrent expenditures kubwa kuliko development budget.
🤔 Nilifikiri ni bora zaidi kuwa na development budget kubwa kuliko recurrent budget ili kukuza uchumi.
 
Ninarudia tena, ili kupunguza kushutumiana, na kutumia Maneno mengi, tutumie namba ili kupima, tuchague viashiria (Indicators) tano, ambazo zinapimika kwa namba(Quantitative indicators), tulinganishe miaka mitatu ya mwisho ya utawala wa Kikwete na miaka mitatu ya Magufuli. Ninapendekeza 1) Ukuaji wa Uchumi, 2) Mfumuko wa bei 3)Ukusanyaji wa mapato ya Serikali. Na wewe chagua tatu ili tulinganishe

Namba unazotaka mwenzio akuonyeshe zimebanwa na Statistics Act iliyopitishwa. Kwa sasa hivi statistics zote halali mtakazotumia zitatoka "source" moja. ☹
 
Back
Top Bottom