Dr. Mpango (Waziri wa Fedha), huu ni mchango wangu kwenye Bajeti Kuu ya Serikali

Wapi nimesema najadili kama mtaalamu? Acha kunilisha maneno mkuu
Petro E. Mselewa
maneno "...... mwanzoni, tukubaliane kuwa Bajeti kama ulivyoiwasilisha jana inahitaji uelewa mpana katika kuielewa, kuichambua, kuipitisha na kuitekeleza. Kwa sisi tuliobahatika kupata elimu ya kutosha, tumeisikia Bajeti na tunaendelea kuichambua mitandaoni, vijiweni na kadhalika. Wachambuzi ni sisi wenyewe wenye uelewa wa hiyo Bajeti." ....niliyoyanukuu kutoka aya ya pili kwenye uzi wako, hukuyaandika wewe mwenyewe?
 
Ni uelewa wa kielimu,si kitaalamu
 
Back
Top Bottom