cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 26,758
- 73,414
Tano nakupongeza kwa kumjibu vizuri ila ukaharibu point ya 4 pale ambapo na wewe umepanic ukajishusha hadhi kwa kutaka kulipiza kwa matusi mkuu. Point 1-3 zillikuwa zimetosha, ulipoweka ya 4 na wewe umejishusha hadhi kwa kukaribisha hasira za haraka haraka kwa hoja muhimu, hvyo hamna utofauti.
Hiyo point ya 4 haitushangazi wengi, akizidiwa kukosolewa juu ya kitu uishia kuandika maneno ya ajabu na mabaya. Halafu atapotea kwa kuwa kimya na kurudi baada ya masiku.