Maisha matamu sanaKama jamii ilipaswa kujua yupo wapi na ana hali gani??, Serikali haitoi majibu yanayoeleweka jamii lazima ifikirie nje ya box.
Huko "never".Peleka kwa Mwamposa mkuu!
Ni faraja kwa wengi wetu kufahamu Makamu wa Rais ni mzima na buheri.Dr. Mpango ni miongoni mwa watu ambao ningekuwa na access naye, ningefarijika sana kuonana naye. Lakini kujua tu kuwa yu mzima, ni zawadi kubwa ya kutosha.
Wanasali wakiwa na bastora kiunoni, bila shaka hawauamini ulinzi wa Mungu 😁😁Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😀
Ukweli ndo huo.Something is wrong. Hata kama kaonekana, ndani kuna fukuto. Haiwezekani Makamu wa Rais aondoke na kurejea kimyakimya licha ya uvumi. Kuonesha kwamba alikuwa nje kweli, taarifa ya kurejea kwake ingetangazwa kama taarifa rasmi
mungu mwenyewe akitokea na kufanya tofauti na wao watampiga risasi! EEEeenHEeeeee!Wanasali wakiwa na bastora kiunoni, bila shaka hawauamini ulinzi wa Mungu 😁😁
Hao ndio walimwengu wanaoifanya dunia ionekane kuwa mbaya kumbe wala.mungu mwenyewe akitokea na kufanya tofauti na wao watampiga risasi!