Dr. Mpango, katikati ya simanzi, kuna faraja na tulizo

Something is wrong. Hata kama kaonekana, ndani kuna fukuto. Haiwezekani Makamu wa Rais aondoke na kurejea kimyakimya licha ya uvumi. Kuonesha kwamba alikuwa nje kweli, taarifa ya kurejea kwake ingetangazwa kama taarifa rasmi
Watajijua wenyewe bwana
 
Hizo picha siyo za leo,Makamu asingeshindwa kuzungumzia maafa ya Hannang na kutoa pole kwa Taifa akiwa madhabahuni.

Tumieni akili,walete video za Mzee akitoa pole kwa Watanzania kuhusu yaliyotokea Manyara ndiyo tutajua ni leo kaonekana
Ni Kweli tahariki zimekuathiri pakubwa 🙄
 
Walitufanyia hivyo hivyo kwa Jiwe,wakawa wanarusha video za past years mwishowe tii chali, tunataka current video tumuone akizungumzia yaliyopo siyo kutuwekea video na mziki pumbavu

Nimeiona video yake, ni real. Ameongelea pia watu waliomzushia kifo.

Amesema kuwa yeye yu mzima, hajamaliza kazi aliyotumwa na Mungu. Muda utakapowadia atarejea kwa Muumba wake. Kwa sasa bado. Ameonekana ni mwenye afya njema.
 
waTanzania tuache kushabikia magonjwa ya wenzetu au misiba ya wenzetu. na uzushi tuache. tunawaumiza walio karibu na mzushiwa.
Kwani serikali ikitoka nakusema kiongozi wa Nchi anaumwa ni dhambi?, Au unataka usikie kina Wema na Chid Benz tu ndio wanatangazwa kuumwa?. Ugonjwa wa kiongozi wa Nchi ni jukumu la jamii nzima..
 
Lakini pia wapo watanzania wengi ambao maisha yao yamevurugwa kabisa na ujambazi na uharamia wa Sabaya na Makonda makalio makubwa ambao kwasasa wanakula bata mitaani.

Kwa dhulma hizi acha mabalaa yaendelee kutupata. Na balaa linalokuja litaondoka na ikulu .
Wataondoka wanaopingana na nguvu kuu
 
Kwani serikali ikitoka nakusema kiongozi wa Nchi anaumwa ni dhambi?, Au unataka usikie kina Wema na Chid Benz tu ndio wanatangazwa kuumwa?. Ugonjwa wa kiongozi wa Nchi ni jukumu la jamii nzima..
Kwahio jamii mkaamua pia kutangaza kifo cha jamaa
 
Moja nililoshangaa kwenye andiko lako hili ni pale unapose kwamba "polisi wanaleta siasa kwenye maafa ya hanang!" Nimekuwa nikijiuliza mbona sijaona wawakilishi wa vyama vya siasa kwenye maafa wilayani hapo? Kumbe wanakumbana na vizuizi?!
 
Hizo picha siyo za leo,Makamu asingeshindwa kuzungumzia maafa ya Hannang na kutoa pole kwa Taifa akiwa madhabahuni.

Tumieni akili,walete video za Mzee akitoa pole kwa Watanzania kuhusu yaliyotokea Manyara ndiyo tutajua ni leo kaonekana
Ila kweli , kwamba kafika kanisani tu ,hata hajawasalimia na kuwapa pole wenzetu? Amukua babu,?
Harusiwi kuongea ?
Twende taratibu ili tujue kulikoni
 
Wiki hii imekuwa ya majonzi makubwa, ambapo Watanzania wenzetu zaidi ya 60 huko Hannang wamepoteza maisha, mamia wameumia. Lakini pia wapo walionusurika ambao maisha yao yamevurugwa na majanga.

Mengine ya pembeni ambayo hayakustahili kuwepo, nayo yakajitokeza. Badala ya kushikamana na kuhuzunika na wenzetu hawa, polisi wajatia dosari kwa kuonesha hata maafa yanakuwa mali ya vyama vya siasa.

LAKINI wakati haya yakiendelea kuna roho ziliendelea kuumia kimya kimya kutokana na Makamu wa Rais Dr. Mpango kutoonekana kwa muda mrefu, huku taarifa za kusikitisha na kuogofya zikisambaa, bila ya taarifa rasmi ya kuwatuliza watu. Wengine walisema, yu mgonjwa mahtuti, na wengine walienda mbali zaidi.

Katilati ya simanzi hizi, inakuja faraja. Dr. Mpango ameonekana Kanisani kwenye ibada.

Sijawahi kuwa karibu naye, wala sijawahi kukutana naye ana kwa ana, lakini habari zilizokuwa zikisambaa kuwa huenda yu mgonjwa sana au pengine hayupo katika Ulimwengu huu wa mwili, zilinipa simanzi, sawa na wale walio karibu nami katika maisha ya kila siku. Shukrani nyingi kwa Mungu, yeye atujaliaye uhai na kuweka neema katika mema yote tuyatendayo, na anayesafisha maovu na mapungufu yetu.

Nilipoona picha yake leo akiwa Kanisani, machozi ya furaha yalinitoka. Maana maneno yaliyokuwa yamesambaa yalikuwa yamenivunja sana moyo, na mara kadhaa nilipata simanzi na hasira kwa Serikali kwa nini haijali hisia za watu.

Kama alikuwa anaumwa au alikuwa mwenye afya njema, kama alikuwa nchini au nje ya nchi, kwangu hayo yote si muhimu kwa sasa. Lililo muhimu, Dr. Mpango yu mzima, bado yupo pamoja nasi.

Mungu azidi kumjalia maisha marefu yenye afya njema, furaha na amani moyoni mwake, na zaidi ajaliwe hekima ya kumzuia kujishikamanisha na uovu wowote hasa unaoweza kusababishwa na nafasi yake. Maana kuna wakati madaraka yanakupeleka karibu zaidi na ibilisi.

Kama kweli alikuwa anaumwa, na sasa amepona, kwa hiari yake, na wala hakuna ubaya, akafanya kama alivyofanya Rais mstaafu Kikwete alipotoka kwenye matibabu US. Japo najua itakuwa ngumu kwa mpango, maana kufanya hivyo ataona kama anamdhalilisha PM.

Dr. Mpango, kama mwumini mwenzangu, siyo kama Makamu wa Rais:

Kristo bwana wetu, aliteseka, hata kufa kwaajili yetu. Katikati ya mateso aliwapa msamaha watesi wake. Hakuwa na sababu ya kuteswa na hata kuuawa na wanadamu duni, bali aliyafanya hayo kutuonesha wanadamu tunavyotakiwa kuenenda katika maisha yetu. Mwisho Kristo alimshinda shetani, akayashinda mauti, mauti ya mwili na Roho. Bila kujali yaliyosemwa juu yako, yawe mema au mabaya, samehe na sahau yote, badala yake uombe neema ya kushiriki ushindi wa Kristo.

Dr. Mpango ni miongoni mwa watu ambao ningekuwa na access naye, ningefarijika sana kuonana naye. Lakini kujua tu kuwa yu mzima, ni zawadi kubwa ya kutosha.
Ccm na watu wake wana faida gani nchi hii?
 
Nipo safarini kuelekea Mtwara,natafuta kituo cha kulea watoto wasio na wazazi hapa njiani nikatoe shukurani yangu kwa kumuona Mh. Mpango leo.

Hakika Mungu Yu Mwema kila Wakati.
 
Peleka kwa Mwamposa mkuu!
 
Pamoja na makalio ya lenyewe makubwa kama ke, halijawahi kumsingizia mtu kifo!
Yeye huyu Makonda makalio makubwa alikuwa hasingizii kifo, bali alikuwa anauwa. Si unajua kwamba USA wamempiga stop kukanyaga huko kwasabb ni muuaji?
 
Wiki hii imekuwa ya majonzi makubwa, ambapo Watanzania wenzetu zaidi ya 60 huko Hannang wamepoteza maisha, mamia wameumia. Lakini pia wapo walionusurika ambao maisha yao yamevurugwa na majanga.

Mengine ya pembeni ambayo hayakustahili kuwepo, nayo yakajitokeza. Badala ya kushikamana na kuhuzunika na wenzetu hawa, polisi wajatia dosari kwa kuonesha hata maafa yanakuwa mali ya vyama vya siasa.

LAKINI wakati haya yakiendelea kuna roho ziliendelea kuumia kimya kimya kutokana na Makamu wa Rais Dr. Mpango kutoonekana kwa muda mrefu, huku taarifa za kusikitisha na kuogofya zikisambaa, bila ya taarifa rasmi ya kuwatuliza watu. Wengine walisema, yu mgonjwa mahtuti, na wengine walienda mbali zaidi.

Katilati ya simanzi hizi, inakuja faraja. Dr. Mpango ameonekana Kanisani kwenye ibada.

Sijawahi kuwa karibu naye, wala sijawahi kukutana naye ana kwa ana, lakini habari zilizokuwa zikisambaa kuwa huenda yu mgonjwa sana au pengine hayupo katika Ulimwengu huu wa mwili, zilinipa simanzi, sawa na wale walio karibu nami katika maisha ya kila siku. Shukrani nyingi kwa Mungu, yeye atujaliaye uhai na kuweka neema katika mema yote tuyatendayo, na anayesafisha maovu na mapungufu yetu.

Nilipoona picha yake leo akiwa Kanisani, machozi ya furaha yalinitoka. Maana maneno yaliyokuwa yamesambaa yalikuwa yamenivunja sana moyo, na mara kadhaa nilipata simanzi na hasira kwa Serikali kwa nini haijali hisia za watu.

Kama alikuwa anaumwa au alikuwa mwenye afya njema, kama alikuwa nchini au nje ya nchi, kwangu hayo yote si muhimu kwa sasa. Lililo muhimu, Dr. Mpango yu mzima, bado yupo pamoja nasi.

Mungu azidi kumjalia maisha marefu yenye afya njema, furaha na amani moyoni mwake, na zaidi ajaliwe hekima ya kumzuia kujishikamanisha na uovu wowote hasa unaoweza kusababishwa na nafasi yake. Maana kuna wakati madaraka yanakupeleka karibu zaidi na ibilisi.

Kama kweli alikuwa anaumwa, na sasa amepona, kwa hiari yake, na wala hakuna ubaya, akafanya kama alivyofanya Rais mstaafu Kikwete alipotoka kwenye matibabu US. Japo najua itakuwa ngumu kwa mpango, maana kufanya hivyo ataona kama anamdhalilisha PM.

Dr. Mpango, kama mwumini mwenzangu, siyo kama Makamu wa Rais:

Kristo bwana wetu, aliteseka, hata kufa kwaajili yetu. Katikati ya mateso aliwapa msamaha watesi wake. Hakuwa na sababu ya kuteswa na hata kuuawa na wanadamu duni, bali aliyafanya hayo kutuonesha wanadamu tunavyotakiwa kuenenda katika maisha yetu. Mwisho Kristo alimshinda shetani, akayashinda mauti, mauti ya mwili na Roho. Bila kujali yaliyosemwa juu yako, yawe mema au mabaya, samehe na sahau yote, badala yake uombe neema ya kushiriki ushindi wa Kristo.

Dr. Mpango ni miongoni mwa watu ambao ningekuwa na access naye, ningefarijika sana kuonana naye. Lakini kujua tu kuwa yu mzima, ni zawadi kubwa ya kutosha.
He is not Ok..
Hayuko sawa.

Namshauri achukue mapumziko.
 
Kwahio jamii mkaamua pia kutangaza kifo cha jamaa
Kama jamii ilipaswa kujua yupo wapi na ana hali gani??, Serikali haitoi majibu yanayoeleweka jamii lazima ifikirie nje ya box.
 
Back
Top Bottom