Dr.Milton Mahanga afungua kesi dhidi ya Msemakweli

Field achana na hi thread naona natija ya maana kwani ukitaka unawafahamisha but watu wanabisha sasa
ukibishana nawatu wasiotaka kufahamu utaumia bure wacha
Akina mahanga na mathayo wakafundishe watoto wetu na tuwe na wanataalumu wasiofahamu kitu matokeo mikataba mibovu. Tunalipa watu kutufundisha na nchi inabakia palepale hebu nijitoe katika hii thread adios guys

- Nimeskuikia sana mkuu, thanks!

Respect.

FMEs!
 
Hii PhD sio feki! Labda tunaweza kusema haina credibility lakini kuiita feki sio sahihi. Obviously Mahanga ameapply somewhere kuipata hiyo Phd, na amefanye kitu fulani ili kuipata e.g ameandika essay ya maneno 100 labda.
Unless kama kuna mtu anadai Mahanga hajaipata hiyo Phd kutoka hicho chuo, sidhani kama kuna mtu anadai hilo.

Ni wajibu wa employer kuangalia kama kuwepo kwa hiyo Phd kwenye CV ya mtu ni kitu kizuri au kibaya, Mahanga hajadanganya kokote, ni kweli anayo hiyo Phd na ndo maana ameiweka kwenye CV yake.

Mimi kama ningekuwa ni mwajiri, ningeangalia ile CV, nitagoogle ile Uni, nitakapoona reputation ya hiyo uni ndo nitanfanya maamuzi ya kumwajiri huyo mtu. Siwezi nikasema kuwa Mahanga ni mwongo, ni kweli amepata hiyo Phd, ila mimi nimeichukulia kama worthless, na kwa kuiweka hiyo Phd kwenye CV yake Mahanga naye nimemwona worthless.
 
However:

- Msemakweli akiweza kuthibitisha with strong evidence kwamba wananchi walimchagua ubunge kwa sababu ya kuamini kwamba ana PhD over Mzee Rupia kutokua nayo, then Mahanga atakuwa kwenye fault na sheria,

- Pia iwapo Msemakweli atathibitisha with strong evidence kwamba Mahanga amepewa uwaziri kutokana na kuwa na PhD over wabunge wengine wasiokuwa nazo, Mahanga again atakuwa kwenye fault na sheria, na hii ni common sense tu over the ishu!

Respect.

FMEs!

Na wakuthibitisha hilo sio mwingine bali aliyemteua, patamu hapo!!!
 
- Mushi aliyonayo Mahanga ni PhD hilo halina ubishi, isipokuwa kuna onyo kutoka kwa watoaji wa hizo PhD za aina yake kwamba haziwezi kutumika kwa ajili ya academic purposes popote pale duniani.

Asante mkuu,

Kama vile PHD za Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Dr. Benjamini William Mkapa na Dr. Amani Abeid Karume, Dr. Julius Kambarage Nyerere (Mwenyezi Mungu Amrehemu) inajulikana ni PHD lakini sio za Academic... ni za Heshima tu...

Ni sawa sawa na University imwajiri mhitimu wa MBA zile za jioni za crash program za Ma-CEO... ambazo nia yao haswa ni kuwa-brash ma-CEO wa makampuni kuendesha makampuni yao vizuri na sio kwa ajili ya hao wahitimu kwenda kutoa hiyo elimu kwa wengine...

Lakini kwenye CV za hao ma-CEO wataweka MBA certificate it is upon the employer to see if it is satisfactory to its business or not... lakini liability hata siku moja haiwezi kuwa ya mheshimiwa huyo.
 
Hii PhD sio feki! Labda tunaweza kusema haina credibility lakini kuiita feki sio sahihi. Obviously Mahanga ameapply somewhere kuipata hiyo Phd, na amefanye kitu fulani ili kuipata e.g ameandika essay ya maneno 100 labda.
Unless kama kuna mtu anadai Mahanga hajaipata hiyo Phd kutoka hicho chuo, sidhani kama kuna mtu anadai hilo.

Ni wajibu wa employer kuangalia kama kuwepo kwa hiyo Phd kwenye CV ya mtu ni kitu kizuri au kibaya, Mahanga hajadanganya kokote, ni kweli anayo hiyo Phd na ndo maana ameiweka kwenye CV yake.

Mimi kama ningekuwa ni mwajiri, ningeangalia ile CV, nitagoogle ile Uni, nitakapoona reputation ya hiyo uni ndo nitanfanya maamuzi ya kumwajiri huyo mtu. Siwezi nikasema kuwa Mahanga ni mwongo, ni kweli amepata hiyo Phd, ila mimi nimeichukulia kama worthless, na kwa kuiweka hiyo Phd kwenye CV yake Mahanga naye nimemwona worthless.

Asante mkuu, tuna hasira sana kiasi kwenda kuamini kila neno letu liko sahihi,

Nimefurahia sana hayo maneno hapo chini, hata mimi kwa uelewa wangu wa PhD naona hizi za akina Mahanga ni worthless;, sijui anaifanyia nini au kwa nini aliichukua.

Kama unafananisha PhD na toys, basi Mahanga ana PhD toy , ila anayo! kama hili toy ni bastola, basi PhD ya Mahanga ni bastola toy kainunua kariakoo kwenye maduka ya watoto na siyo bastola real kama ya Jerry Muro aliyonunua duka la Mzinga! Ila anayo

I think our cry is the quality of his PhD. Kwa position yake kuwa na aina ile ya PhD hailijengi taifa , kiongozi ana inspiration kwa jamii na kuna vijana wataiga huu mtindo wa kutokuumiza kichwa na kupata PhD isiyo na input yeyote zaidi ya satus tu.

Mahakamani Mahanga atapeleka toy lake, na majaji wataliona na kusema yes you have it! lakini bado kesi hii haitaweza kubadili huu ufisadi wa elimu, tusipoangalia unaweza kuongeza kwa kasi kubwa sana kama Mahanga akishinda.

Lakini kama alivyosema Kang; nani wanawaajiri hawa watu?????????? na nani anataka wawe na hizo PhD, tukilifumbua hili swala tutagundua mengi nyuma ya pazia

Msemakweli ninachoona kavaa bomu kajilipua, kapiga adui walio kwenye target yake, ila most likely naye akauawa kwenye hii mission ya ushujaa wa style ya Hezbola! However, what ever that will happen in this case, TCU will wake up!

still Msemakweli anahitaji sifa, ila sifa tu kwa wale waliotayari kujichukulia sheria mkononi kwa kisingizio kuwa serikali haijali wala haisikilizi which is the worse katika society.Leo hatuwezi kuwanyooshea vidole wanaowaua watu kwa kuwashuku uchawi, wala wanaowachoma moto washukiwa wa wizi...... if we can not correlate these issues na kuona zinafanana sana then we are not living by our own principles. Nikifika hapo naogopa kuwa sisi hatujajipanga bado, kanuni zetu za maisha zimetawaliwa na emotions ambazo huwa zinabadilika kutokana na nani anasemwa na wakati gani( in short double standards). Imefikia muda wa kutoona viongozi ni watu ila mawe. kama kuna mtu atanihukumu kwa hili naomba kuubeba msalaba huu kwa gharama yeyote ile

Nilichoona kwenye whole drama ni kuwa ''wezi' hawa wa PhD wamepigwa mawe tumeshangilia na tumesema wasulubiwe, kesho tukiona kibaka anachomwa moto, tutawalaumu waliowachoma moto!!

We dont have alternatives ya kutatua matatizo kwa akili zaidi ila tunaona imefikia muda wa kuchukua sheria mkononi kwa kivuli cha kuwa 'hawa ni viongozi' hii ni dalili ya kushindwa mapambano, ni kama zile ngumi za utotoni ukishindwa unauma au unakimbilia mawe! huku kuna wa kushangilia pembeni, ukifikiria haya yote naona yanaturudia sisi wenyewe!

Haya sasa Mahanga akishinda kesi ndo watu watazinunua hizi PhD toys kama njugu, tutakuwa tumefanya nini? Msemakweli akishinda kesi basi tunafungulia wimbi la watu kuiga style yake!
 
Hii PhD sio feki! Labda tunaweza kusema haina credibility lakini kuiita feki sio sahihi. Obviously Mahanga ameapply somewhere kuipata hiyo Phd, na amefanye kitu fulani ili kuipata e.g ameandika essay ya maneno 100 labda.
Unless kama kuna mtu anadai Mahanga hajaipata hiyo Phd kutoka hicho chuo, sidhani kama kuna mtu anadai hilo.

Ni wajibu wa employer kuangalia kama kuwepo kwa hiyo Phd kwenye CV ya mtu ni kitu kizuri au kibaya, Mahanga hajadanganya kokote, ni kweli anayo hiyo Phd na ndo maana ameiweka kwenye CV yake.

Mimi kama ningekuwa ni mwajiri, ningeangalia ile CV, nitagoogle ile Uni, nitakapoona reputation ya hiyo uni ndo nitanfanya maamuzi ya kumwajiri huyo mtu. Siwezi nikasema kuwa Mahanga ni mwongo, ni kweli amepata hiyo Phd, ila mimi nimeichukulia kama worthless, na kwa kuiweka hiyo Phd kwenye CV yake Mahanga naye nimemwona worthless.

Naona confusion ktk hii post mkuu. Nahisi unashindwa kucommunicate what you have. You could be having some point but communication is your major barrier. Maana naona mkinzano wa hoja ndani ya hii post yako,i.e unajichanganya tu. Mfano umeanza kwa kusema "hii PhD sio fake" alkini supporting information ya hii premise haina mshiko kabisa. Inamaana mtu akisema ana PhD ya Havard kwenye cv yake na wewe ukigoogle ukaona kweli havard ni accredited university then PhD hiyo ni ya ukweli?
Baadae unasema kwa kuiweka PhD hiyo kwenye CV yake umemuona jamaa ni worthless. Sasa ulivyosema sio fake je ulimaanisha nini? Kama sio fake kwanini asiiweke kwenye cv? Inawezekana umejichanganya kidogo mkuu. Respect!
 
Naona wenzako wamenielewa, soma vizuri tena.

Hakuna anayemtuhumu Mahanga kwa kufoji hii Phd yake, nimeligusia hilo. So huo mfano wako wa Harvard hauapply, there is no question that Mahanga actually got the Phd from that University. The question is on the value of the Phd.

Asiiweke kwavile haileti uzito wowote kwenye CV yake, na zaidi ya hapo inamfanya aonekane mtu wa kupenda title ya Phd for the sake of title, bila any actuall work behind it. Kama mwajiri nitaona hii ni negative, serikali yetu haijaona hilo lakini, at least not enough kumnyima kazi.
 
Unatakiwa kufunga hilo domo lako kubwa.Msemakkweli anatakiwa afundishwe adabu.

Sijui unatuambia sie au la lakini sawa Mzee tutayafunga halafu akina Dr Salim, Dr Kikwete , Dr Karume, Dr Kifimbocheza , Dr Matuge Herbalist, Dr Mathayo, na wengineo wengineo wafundishe watoto tuone taifa litaepekea wapi
 
Wakuu wengine mnafurahisha sana,halafu hapa ni watu tunaokuja JF lakini bado hatujishughulishi kufikiri?Halafu hata ule mkumbo wa JK nilidhani wale asilimia 70 hawako hapa JF lakini ni wazi i was wrong....

FMES,Waberoya,Kasheshe,Mdondoaji na wengineo; Kwa mujibu wa dictionary.reference.com hapo chini ni tafsiri ya neno fake,tafsiri ambayo inaendana kabisa na maneno niliyosema hapo nyuma,tatizo la kukariri na mtu akisema feki basi tunachulia feki kama pesa nk,hatuelewi kwamba tafsiri ziko broad?

Sikusema kwamba kama unawakilisha something as accredited na ukweli ni kwamba siyo accredited,tayari umesha conceal the fact kuwa si accredited hence fake...?Ninashangazwa sana wakuu,ama tunajadili kimaslahi zaidi?

Tuwekane sawa hapa,na wengine kuja na kudai usisumbuke kumwelewesha mtu,we mdondoaji kauli yako ni ya kipuuzi,haya sasa wewe sema hapo chini kama tafsiri ya fake haiendani na kesi hii,kama aliiweka kwenye resume yake na kuiwakilisha as if ni accredited,basi chini ya misingi hiyo ina defects.Na kwenye kesi ya Msema Kweli yeye Mahanga kama public figure ndiye mwenye burden ya kuprove kwamba haina defects chini ya taratibu zilizopo....Na kwasababu Mahanga anahold public office,then everything is fair game....Na pia mujuwe tofauti kati ya hizo Phd za heshima na zile un accredited,maana naona mnarundika hoja mfu humu,na kuanza kuzifananisha hizo Phd za heshima wanazotunukiwa vs hii ambayo ni mtu mwelewa tena msomi aliyekwenda kuichukua na huku akijua kuwa siyo accredited,kesi kama hizi uelewa wa this time wa plaintiff ie professionalism yake, utakuwa put into account,kwamba inawezekana vipi mtu wa nafasi kama yake ashindwe kuona mambo kama hayo?Na hao TCU kama wamemsafisha Mathayo shida iko wapi kwa Mahanga?

Wengine inaonekana mnalazimisha kujifurahisha,hata kama nisipoendelea kubishana na nyie hapa haita badilisha chochote,hivyo tusubiri tuone,kama niko wrong basi mtaniambia na kama mko wrong ntawaambia tu.

Fake; to conceal the defects of or make appear more attractive, interesting, valuable, etc., usually in order to deceive: The story was faked a bit to make it more sensational

Kwa tafsiri hiyo hapo juu,something might be real but sitll fake.
 
Mie nadhani kimsingi kuziita PhD kama za kina Mathayo ni fake sio sahihi kwani zinatokea katika institution ambazo kiukweli hazitambuliki. Ndio maana mie katika threads zangu zote nyuma nasema ni questionable kwani hadi itakapokuwa zimethibitika kuwa ni feki ndio tuziite feki.

Kuziita questionable ni vizuri kwani inasaidia kuweka mazingira kumpa haki mtuhumiwa na sio kumtuhumu moja kwa moja. Kwani inawezekana Mathayo alijiunga Free State akijua ni chuo bomba kumbe ni chuo bomu. Au Mahanga alijiunga Washington akijua chuo kizuri kumbe ni bomu. Kisheria any suspect is presume to be innocent until proven guilty. Ila nadhani naomba nirejee hoja ya Abdulhalim kule nyuma alisema kuwa kuna haja kuzitofautisha hizi PhD kwani zinaharibu nadharia na efforts za watu kusoma hizo degree. Honararium Doctorates, Professional Doctorate should not be allow to be called themselves Dr as they do not have the appropriate academic merits kujiita hiyo Title. Just imagine Karume ambaye hata form four hajamaliza siku hizi anajiita Dr Karume tutafika???

Na vipi wanazisomea hizo Doctorate unadhani unawapa motisha gani kuzisoma kama kuna watu wanafanya online doctorate 6 months, au wanatunukiwa basi washakuwa madr. Ndio nchi itaendelea??? Wenzetu wanalinda sana heshima ya hizi degree kwani wanajua ndio uti wa mgongo wa nchi. Sie ndio vice versa tunapeana udr kama maharage ya mbeya.

Huo si upuuzi kwani tunaliweka taifa in limbow? Je upi ni upuuzi mushi kuruhusu watu wajichukulie degree kama wanavyononunua maharage sokoni au wakasome shule ili waje kufundisha watanzania na taaluma zao.

Mie sielewi ndio maana nasema tuwaache tu wajazane Dr. Mathayo, Dr. Mahanga, Dr. Kifimbocheza, Dr. Mtambanamungu, Dr. Matuge Herbalist, Dr. Karume , Dr. Salim na wengine wote kwani ishaonekana hata hao TCU hawajui wanalolifanya kama taifa letu halitaangamia.
 
Mimi si mwanasheria lakini nafahamu kutokujua sheria hakukuzuii wewe kushtakiwa kwa kuivunja sheria hiyo.

huyu njemba kama anahold public office hawezi kuja na utetezi kuwa nilisoma pale nikiwa sijui kuwa kile ni chuo fake/wanatoa PhD fake.This is just stupid on his side.

That PhD will either be real of Fake no intermediary.
 
the saddest part kwa huyu mzee wa mapanga ni kwamba hahitaji PhD feki kuwa na public position kwani yuko poa... ni kama mama nagu, ana masters safi sasa sijui huko kwenye PhD anafuata nini
 
PhD not to be used in academic purposes looks like a PONZI SCHEME to me!why would a decorated public official spend two hours chasing a useless PhD?

It must have other uses besides academics,can mr.mahanga or his wapambe\ enlighten us on the matter?!

The fact that the guy is using the Dr. title associated with an academic PhD shows a lot about the intentions of this crook.and if mr.Kikwete was any smarter/decent the boy should have been booted of the post effective immediately on grounds of deceiving and misuse of public trust.

ofcourse sitegemei Mr.Kikwete afanye kitu chochote kwani na yeye yuko bize kumake sure anaitwa Dr.Kikwete,But they should know real academicians don't even bother to be called Dr. everywhere they go,and sometime even in their official positions.

Look at Eric Schmidt-Google CEO,the guy has a PhD in one of the most important & toughest fields in Computer science,Yet you will never hear Eric calling himself a Dr or even put this Dr.initial before his name.

Just out of curiosity,what field did this cheap crook work on in his PhD?
 
agreed completely, ni desperate minds za kuwa somebody ndizo zinazotuponza.... actually siasa za tanzania ni synonymous na Ponzi in a way
 
Mimi si mwanasheria lakini nafahamu kutokujua sheria hakukuzuii wewe kushtakiwa kwa kuivunja sheria hiyo.

huyu njemba kama anahold public office hawezi kuja na utetezi kuwa nilisoma pale nikiwa sijui kuwa kile ni chuo fake/wanatoa PhD fake.This is just stupid on his side.

That PhD will either be real of Fake no intermediary.

Lakini ishu inakuja vp mzee unataka kuniambia Mahanga akiwa hajui kama chuo kinatoa degree bomu utamshitaki? Mfano ikijulikana kuwa Mahanga alifata njia zote kuhakikisha kuwa chuo kiko sahihi utamwita amepata PhD feki? je vp mtu aliyetapeliwa kesi zao zinaitwaje mie sio mwanasheria hebu nifahamishe kidogo.

Jamani hizi degree ni questionable tu zikithibitika sahihi basi lakini sidhani ni sahihi kuziita feki mkubwa ni hilo tu!!!!
 
the fact that it is/has been questionable fro several years now should have at least forced him to evaluate his PhD starting from where he got it.

The fact that he got a PhD from a questionable university is enough to take him out of public office.

we want decent character there, sio crooks who hides behind shadows
 
Lakini ishu inakuja vp mzee unataka kuniambia Mahanga akiwa hajui kama chuo kinatoa degree bomu utamshitaki? Mfano ikijulikana kuwa Mahanga alifata njia zote kuhakikisha kuwa chuo kiko sahihi utamwita amepata PhD feki? je vp mtu aliyetapeliwa kesi zao zinaitwaje mie sio mwanasheria hebu nifahamishe kidogo.

Jamani hizi degree ni questionable tu zikithibitika sahihi basi lakini sidhani ni sahihi kuziita feki mkubwa ni hilo tu!!!!

Mkuu hata mimi si mwanasheria lakini nachofahamu ni kwamba; kwasababu yeye ni professional mwenye kuhold public office,mahakama ita assume kwamba alitakiwa afahamu kwamba chuo hicho hakitoi an accredited Phd,yeye kama professional hawezi kujitetea kwa kutumia defense ya negligence.
 
the saddest part kwa huyu mzee wa mapanga ni kwamba hahitaji PhD feki kuwa na public position kwani yuko poa... ni kama mama nagu, ana masters safi sasa sijui huko kwenye PhD anafuata nini

Little that I know about these wakubwa ni kuwa, projects nyingi za world bank, IMF, UN, zinahitaji watu wa PhD, na zinapitia kwa hawa watu, na kwa sababu hawana utaalamu wa kutosha inabidi wawapelekee PhD holders kwenye vyuo. Naona kinachofanyika ni ufisadi wa aidha kujifanya madalali au mtu wa kati. jamaa wenye genuine PhD wanapiga kazi, wanasubmit mzigo kwa wakubwa hawa, jamaa nao wanaanguka signature au kujifanya kazi hizi wamezifanya wote. This is what I know, wanazitumia kufanyia nini

Niliuliza huko nyuma kutaka sababu zingine zitakuwepo tu. I smell many bad things behind these PhD which is connected to donors.

kwa position zao walizonazo lazima kuna jambo wanafaidika- hata kama haliko wazi kwa jamii yetu au hatuoni kwa macho yetu!, na sisi vita yetu ni kuweka msingi wa kusafisha uozo wote huu kuanzia kwa wakubwa mpaka kwa mamesenja.

TCU imekuwa kama kwa daktari wa hospitalini; kila mtu anaenda kwa shida zake huyu jipu, huyu meno, huyu tumbo, ukiwauliza criteria gani wametumia kusema Mathayo ana vyeti genuine haijulikani, evaluation ya kitu lazima kuwe na known criteria ambazo naona hazipo. Hizi lazima zijulikane kwa wananchi wote.
 
PhD not to be used in academic purposes looks like a PONZI SCHEME to me!why would a decorated public official spend two hours chasing a useless PhD?

It must have other uses besides academics,can mr.mahanga or his wapambe\ enlighten us on the matter?!

The fact that the guy is using the Dr. title associated with an academic PhD shows a lot about the intentions of this crook.and if mr.Kikwete was any smarter/decent the boy should have been booted of the post effective immediately on grounds of deceiving and misuse of public trust.

ofcourse sitegemei Mr.Kikwete afanye kitu chochote kwani na yeye yuko bize kumake sure anaitwa Dr.Kikwete,But they should know real academicians don't even bother to be called Dr. everywhere they go,and sometime even in their official positions.

Look at Eric Schmidt-Google CEO,the guy has a PhD in one of the most important & toughest fields in Computer science,Yet you will never hear Eric calling himself a Dr or even put this Dr.initial before his name.

Just out of curiosity,what field did this cheap crook work on in his PhD?

Mkuu mbona ni wengi sana wan PHD na hawatumii kuji identify ila utaona tuu vitu vyao
Kwanza nchi yenyewe huitaji hat a degree kuiongoza
Kuomba hakuhitaji elimu
Bora wagombane ili nchi yetu ipone
 
- Mushi aliyonayo Mahanga ni PhD hilo halina ubishi, isipokuwa kuna onyo kutoka kwa watoaji wa hizo PhD za aina yake kwamba haziwezi kutumika kwa ajili ya academic purposes popote pale duniani.

- Kosa la Msemakweli ni kushutumu kwamba Mahanga ana PhD isiyo ya kweli, wakati Mahanga anayo PhD ya kweli, Msema kweli angekuwa na hoja iwapo angemshutmu Mahanga kwa kutaka kuitumia PhD somewhere na akathibitisha hoja yake with evidence, Mahanga si waziri kwa sababu ya kuwa na hiyo PhD, na wala si mbunge kwa sababu ya kuwa na hiyo kihiyo.

However:

- Msemakweli akiweza kuthibitisha with strong evidence kwamba wananchi walimchagua ubunge kwa sababu ya kuamini kwamba ana PhD over Mzee Rupia kutokua nayo, then Mahanga atakuwa kwenye fault na sheria,

- Pia iwapo Msemakweli atathibitisha with strong evidence kwamba Mahanga amepewa uwaziri kutokana na kuwa na PhD over wabunge wengine wasiokuwa nazo, Mahanga again atakuwa kwenye fault na sheria, na hii ni common sense tu over the ishu!

Respect.

FMEs!

Kwenye red FMES kama kweli unauhakika kuwa PhD ya Mahanga si feki na unaweza ku prove basi ni vizuri kuisaidia mahakama ili kesi hii iishe mapema

nafikiri kuwa na genuine degree si lazima uwe mbunge au waziri au lazima uwe public figure ni kwa mtu yeyote nilivyokuelewa unataka kutuambia kama leo Mahanga akijiuzuru ubunge basi hatakuwa na kesi ya kujibu
 
Back
Top Bottom