😂😂😂Msomi na Kiongozi mashuhuri dunian na Mbunge wa Same (M) karibu tena jimboni uhudumie wananchi kipindi cha 2025-2030.
NB: safari hii TOA misaada ya pikipiki Kwa vijana badala ya ambulance.
Ana hela?Hapo anakuja Leonard Singo,kugombea kwenye hilo jimbo,ajiandae kupambana nae kwenye kura za maoni.
Singo nikupe ushauri wa bure!Hapo anakuja Leonard Singo,kugombea kwenye hilo jimbo,ajiandae kupambana nae kwenye kura za maoni.
Mwache akajaribu bwana.Nani aliamini Kibajaji Lusinde angeweza kumwangusha jabali wa siasa hapa Tanzania Mzee Malecela kule MteraSingo nikupe ushauri wa bure!
Kama unamfahamu CEO wa Ramani Investment na kazi Za hiyo kampuni hapa nchini, basi kimbia hilo jimbo!
OkMsomi (PhD) na Kiongozi mashuhuri dunian na Mbunge wa Same (M) karibu tena jimboni uhudumie wananchi kipindi cha 2025-2030.
NB: safari hii TOA misaada ya pikipiki 3000 (Kwa mchanganuo ufuatao 1500 ukanda wa miliman, 1500 tambarare) kwa vijana badala ya ambulance. Hap bodaboda ndio uzunguke nao kwenye kampeni mwanzo-mwisho.
Angela anaenda Viti MaalumHilo jimbo litakuwa na Mbunge wa jinsia ya -ke 2025.
Yeye na Visenti vyake,Lakini watu wa Same munanuka vumbi la Perege..Wacheni UndeziSingo nikupe ushauri wa bure!
Kama unamfahamu CEO wa Ramani Investment na kazi Za hiyo kampuni hapa nchini, basi kimbia hilo jimbo!
Perege hiyo kwio. Mwana WA Kaya forever!Yeye na Visenti vyake,Lakini watu wa Same munanuka vumbi la Perege..Wacheni Undezi
JamiiForums mobile app
Ngombaru mwenzangu makasiriko ya nn!?Mathayo David Mathayo ni Phd? Au veterinary doctor? Kilichokutisha ni initial ya Dr. Mpaka kumpa PhD?
Kama ni Phd leta ushahidi hapa kabla cjaleta ushahidi wa kukuonyesha uko wrong
Sheria gani inakataza kuanza kampeni mapema?Kampeni zimeanza mapema Sana.