Dr. Magufuli nguli wa Sayansi anayejua matatizo ya Tanzania

At lest wewe umeleta uzi wa maana..ila mfumo aliopo haufai..umeoza angetoroka aje sawa..ila kwa ccm ya akina lusinde, wasira, wema hapana nchi itadidimia kwenye matope

Nchi imeshadidimia tayari.
 
Anayajua baada ya kuutaka uraisi lakini hakuyajua kipindi cha miaka 10aliyokuwa madarakani. Hata hoja kuchangia ili kutatua hayo matatizo hakutoa.
 
mungu ametuambia magufuli ndiyo wakati wake sasa mungu atamvusha na kuwa kiongozi wa tanzania.

hebu acheni mchezo na Mungu, unadhan ndo 2005 mkatuambia baba liz ni chaguo la mungu, kumbe katumwa na shetani kuja kupiga mafungu yetu ya pesa. watanzania wamechoshwa na ahadi hewa.
 
magufuli atawalaza nje mwaka huu wahuni kama mafisadi na wauza madawa akina makongoro mahanaga hawana chao wajiandae kulima tu hakuna vya bure tena.

haa haa aanze kwanza na yeye mwenyewe. kisha mwenyekiti wa magamba. maana katika list of shame wamo.
 

Ametatuaje kero za wananchi wa jimbo lake ambalo amelihudumia kwa miaka 20?
 

Na hili la BRT milango ya kushukia kushoto vituo kuliko ni moja ubora wake katika kutatua kero eh!
 
Na hili la BRT milango ya kushukia kushoto vituo kuliko ni moja ubora wake katika kutatua kero eh!

Magufuli yeye kazi yake iliishia kwenye barabara ... Hayo mabus ni tender ilitolewa kwa kampuni ... Serikali haihusiki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…