nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,613
Magufuli ni mtu ambaye ameletwa na Mungu kututumikia Watanzania
haa haa mungu gan mkuu?
Magufuli ni mtu ambaye ameletwa na Mungu kututumikia Watanzania
At lest wewe umeleta uzi wa maana..ila mfumo aliopo haufai..umeoza angetoroka aje sawa..ila kwa ccm ya akina lusinde, wasira, wema hapana nchi itadidimia kwenye matope
Magufuli ni mtu ambaye ameletwa na Mungu kututumikia Watanzania
mungu ametuambia magufuli ndiyo wakati wake sasa mungu atamvusha na kuwa kiongozi wa tanzania.
Magufuri ni chaguo la Mungu
Alichaguliwa na Mungu wapi?. Maddinah au Yerusalem?.
Magufuri ni chaguo la Mungu
magufuli kiboko ya mafisadi mpango wa maendeleo kwa watanzania.
magufuli atawalaza nje mwaka huu wahuni kama mafisadi na wauza madawa akina makongoro mahanaga hawana chao wajiandae kulima tu hakuna vya bure tena.
Pigeni sarakasi weee lakini serikali ya mseto haiepukiki,
Dr Magufuli ni miongoni mwa viongozi wachache duniani waliosoma Sayansi na Kui apply elimu kwa vitendo katika uongozi , moja ya sifa kuu ya mwanasayansi ni kufanya tafiti , hili Dr Magufuli alilitekeleza kwa vitendo kwa kuzunguka kwenye mizani mida ya kushtukiza na kukagua uendeshwaji wake na hasa kufuatilia suala la rushwa.
Dr. Magufuli kajipambanua kama kiongozi , Wa kuigwa na kufuata misingi ya Azimio ya Arusha kwa kujua kwamba ili nchi iendelee inahitaji ,vifuatavyo; Ardhi, Watu , uongozi Bora na Siasa safi.
Ardhi
Upande huu , kautendea haki kwani kawa kiongoz Wa kuigwa kwa kuhakikisha rasilimali Ardhi inatumika ipasavyo ikiwemo kujenga barabara za kiwango cha lami Tanzania nzima , kwa uthubutu Wa kusimamia pesa zinatoka.
Watu
Katumia rasilimali watu ipasavyo hasa kuwapigania wakandarasi wazawa waungane na kuhakikisha maendeleo ya Tanzania , yanaletwa na watanzania wenyewe.
Siasa Safi
Dr Maghufuli ni mwanasiasa asiyejihusisha na siasa za fitina,majungu na uzushi Bali ni muumini mzuri Wa siasa safi
Uongozi Bora
Katika uongoz bora kwa serikali ya awamu ya NNE , Dr Magufuli ameonesha njia ya uongoz bora na kuwa kiongoz Wa mfano kwa kila mtanzania
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Huyu ndiye mwanasayansi aliyetumia elimu yake ya sayansi kufanikisha maendeleo ya kivitendo na yanayoonekana ndani na nje ya nchi
" God Created Tanzania as it is but Dr. Magufuli construct infrastructure which has not been in Tanzania"
Dr Magufuli deserve to be our next President 2015-2020

Na hili la BRT milango ya kushukia kushoto vituo kuliko ni moja ubora wake katika kutatua kero eh!