wingatereza
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,334
- 1,719
Mleta mada nakuheshimu, kwa nini usitake apelekwe Mbinga, kyerwa au mlele kama siyo Kibondo na utake aletwe Ubungo.
hilo neno kwe2 ni tusi. plzzzz!!! lekebsha.Ukifanya ovyo unatumbuliwa bila kujari udungu,ufamilia wala ukoo ufanisi wako ndio utakao kufanya udumu katika nafasi yako.
Mleta mada nakuheshimu, kwa nini usitake apelekwe Mbinga, kyerwa au mlele kama siyo Kibondo na utake aletwe Ubungo.
Vyeo havitolewi kwa kufarijiana.Le mutuz na Mwele si aina ya watu wa kupewa vyeo kwa kufarijiwa.Mheshimiwa,Mtukufu Dr John Pombe Magufuli kwa heshima na tahadhima nakusihi na kukuangua chini ya Miguu yako mpatie nafasi kijana wa zamani Willy Malecela ukuu wa Wilaya ya Kinondoni.
Kwanza nikupongeze na kukutakia afya njema katika kutekeleza majukumu yako mazito kwa taifa letu changa.Nikupongeze pia kwa kuanza vyema katika nafasi yako nyingine ya ukigoda wa chama chetu pendwa.Umejitahidi kuondoa masalia ya yule rafiki yetu wa Msoga lakini safari hii haujawatupa wengine wamekuwa wakuu wa Mikoa,wengine Mabalozi na wengine wanasubiria nafasi kedekede ulizopewa na katiba yetu inayohitaji mabadiliko makubwa.
Ngoja nirejee kusudio la kuandia waraka huu kwakuwa najua utakufikia basi natarajia utafanyia kazi mawazo yangu.Kwakuwa yule Mheshimiwa aliyekuwa anapambana na chama chetu umemwondoa Wilaya ya Ubongo na sasa umempatia kile cheo cha kubwabwaja pasipo kutumia akili nakuomba umkumbuke Bwana Willy Malecela katika nafasi hiyo hasa ukizingatia heshima ya familia ya Malecela jinsi ilivyokumbwa na misukosuko tangu utawala wa awamu ya tano uingie madarakani.Mama Anna Kilango ulimtimua katika nafasi ya ukuu wa Mkoa kabla mambo hayajatulia jana umemtumbua Mtoto wa Mzee Malecela Dr Mwela Malecela katika nafasi ya Mkurugenzi NIMR.
Kwakuwa wewe ni Mtukufu teuzi zako hazihojiwi wala hazipigiwi kura kama kuleee kwa Mzee Trump basi ipooze familia ya Mzee Malecela kwa kumteua Kijana wake Willy ukuu wa Wilaya ya Ubungu unamtosha sana familia itafarijika na kupunguza machungu na kinyongo
Ni hayo tu Mtukufu Dr Magufuli nafasi nyingine zikitokezea hasa tukizingatia tumbua tumbua haijakoma unikumbuke na mimi katika utukufu wako niko tayari kulitumikia taifa letu katika nafasi za Ukuu wa Wilaya,Ukuu wa Mkoa,Ubalozi,Ukurugenzi,katibu mkuu wizara,katibu tawala mkoa na wilaya zote hizo ziko chini ya mamlaka yako ya uteuzi na utumbuaji.
Nawasilisha kwa unyenyekevu wa hali ya juu.
Kumbe ana kazi nyingine sasa ya kupiga picha na mabebezLe Mutuz ni Muzee ya Mujini kumpeleka huko madongo kuinama ni kumyima haki zake za kimsingi za kujumuika na kupiga picha na mabebezz.
co kwel, jaribu kueshim mawazo ya mtu, yy kaamua kuishi maisha yale sasa kinachokufanya ww umdharau n nn, km yy ana ya Enjoy...Haitakuja kutokea!
jamaa uwezo wake wa kufikiri mdogo sana
Ata ivo muda wake ushaisha amezeeka lakin hajitambui
Sio dharau mkuu!co kwel, jaribu kueshim mawazo ya mtu, yy kaamua kuishi maisha yale sasa kinachokufanya ww umdharau n nn, km yy ana ya Enjoy...
67yearsMheshimiwa,Mtukufu Dr John Pombe Magufuli kwa heshima na tahadhima nakusihi na kukuangua chini ya Miguu yako mpatie nafasi kijana wa zamani Willy Malecela ukuu wa Wilaya ya Kinondoni.
Kwanza nikupongeze na kukutakia afya njema katika kutekeleza majukumu yako mazito kwa taifa letu changa.Nikupongeze pia kwa kuanza vyema katika nafasi yako nyingine ya ukigoda wa chama chetu pendwa.Umejitahidi kuondoa masalia ya yule rafiki yetu wa Msoga lakini safari hii haujawatupa wengine wamekuwa wakuu wa Mikoa,wengine Mabalozi na wengine wanasubiria nafasi kedekede ulizopewa na katiba yetu inayohitaji mabadiliko makubwa.
Ngoja nirejee kusudio la kuandia waraka huu kwakuwa najua utakufikia basi natarajia utafanyia kazi mawazo yangu.Kwakuwa yule Mheshimiwa aliyekuwa anapambana na chama chetu umemwondoa Wilaya ya Ubongo na sasa umempatia kile cheo cha kubwabwaja pasipo kutumia akili nakuomba umkumbuke Bwana Willy Malecela katika nafasi hiyo hasa ukizingatia heshima ya familia ya Malecela jinsi ilivyokumbwa na misukosuko tangu utawala wa awamu ya tano uingie madarakani.Mama Anna Kilango ulimtimua katika nafasi ya ukuu wa Mkoa kabla mambo hayajatulia jana umemtumbua Mtoto wa Mzee Malecela Dr Mwela Malecela katika nafasi ya Mkurugenzi NIMR.
Kwakuwa wewe ni Mtukufu teuzi zako hazihojiwi wala hazipigiwi kura kama kuleee kwa Mzee Trump basi ipooze familia ya Mzee Malecela kwa kumteua Kijana wake Willy ukuu wa Wilaya ya Ubungu unamtosha sana familia itafarijika na kupunguza machungu na kinyongo
Ni hayo tu Mtukufu Dr Magufuli nafasi nyingine zikitokezea hasa tukizingatia tumbua tumbua haijakoma unikumbuke na mimi katika utukufu wako niko tayari kulitumikia taifa letu katika nafasi za Ukuu wa Wilaya,Ukuu wa Mkoa,Ubalozi,Ukurugenzi,katibu mkuu wizara,katibu tawala mkoa na wilaya zote hizo ziko chini ya mamlaka yako ya uteuzi na utumbuaji.
Nawasilisha kwa unyenyekevu wa hali ya juu.
Kwa vile eti shati lake linaweza kufunika Gari aina ya Vitz na likatosha.Hivi kwa nini anaitwa Le Mutuz