Dr Magufuli, mteue W.Malecela DC Kinondoni

Hata wewe ni Mkuu wa Wilaya nyumbani kwako usihofu sana,hii ndio dunia kuna watawala na watawaliwa,kuna wapiganaji na wapiganishaji,kuna watukufu na wasiokuwa na utukufu ridhika na hali yao.
NIMEIPENDA HYO WAPIGANAJI NA WAPIGANISHAJI
 
Kivipi labda ungetoa maelezo kiduchu.


1: Mama Le Mutuz kapigwa chini

2: Dada kapigwa chini


Umeelewa kitu hapo..? Tena Dada yake atleast alikuwa makini kidogo, Le Mutuz ndio hovyo kabisaaaaaa, kichwani mdogo sana, type ya akina Wema, Lulu, Uyoya, Ant Ezekiel, etc hao ndio kila saa wanpiga mapicha wakila bata..!! Anatafuta usupa star na umri wake ule wote..

Awamu hii ni HAPA KAZI TU.. ubishoo apeleke kwao..

Hapa umechemka sana hata kumpigia debe hafai..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom