Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,150
Ukweli usio pingika ni kwamba members wengi wa CCM wanakuwa branded kama wababaishaji, wezi na longo longo nyingi. Kinacho-bore zaidi ni pale yanapokuwa kama manyumbu yanakubali kila linalosemwa na babu yao. Uwezo wa kusimama kama individuals na kusimamia hoja binafsi ndani ya CCM haupo. Kinachonishangaza ni kwamba Magufuli peke yake ameweza ku-demonstrate hilo. Ameingia Wizara ya Ujenzi na kusababisha mtikisiko mkubwa, ikiwa ni pamoja na kumtimua Mrema wa TANROAD ambaye amaelisababishia taifa loss ya mabil ya pesa under the watch of the president.
Ni dhahili kwamba Dr Magufuli uko the wrong side wanakutumia pale wanapokuhitaji. Sijui huja realize political power na support ulio nayo masikini! Yanini kuendelea kuogelea kwenye tope la CCM na kuendelea kutumiwa pale wanapokuhitaji wakati unakubalika kuliko chama chenyewe? Kama unalitakia mema kweli taifa haipo haja ya kuendelea na kukaaa na wababaishaji hawa wanao-mask uwezo wako. Okoa taifa lako Mchukue Sitta na Harrison pia.