Dr Magufuli hana vinasaba vya CCM

Ukweli usio pingika ni kwamba members wengi wa CCM wanakuwa branded kama wababaishaji, wezi na longo longo nyingi. Kinacho-bore zaidi ni pale yanapokuwa kama manyumbu yanakubali kila linalosemwa na babu yao. Uwezo wa kusimama kama individuals na kusimamia hoja binafsi ndani ya CCM haupo. Kinachonishangaza ni kwamba Magufuli peke yake ameweza ku-demonstrate hilo. Ameingia Wizara ya Ujenzi na kusababisha mtikisiko mkubwa, ikiwa ni pamoja na kumtimua Mrema wa TANROAD ambaye amaelisababishia taifa loss ya mabil ya pesa under the watch of the president.
Ni dhahili kwamba Dr Magufuli uko the wrong side wanakutumia pale wanapokuhitaji. Sijui huja realize political power na support ulio nayo masikini! Yanini kuendelea kuogelea kwenye tope la CCM na kuendelea kutumiwa pale wanapokuhitaji wakati unakubalika kuliko chama chenyewe? Kama unalitakia mema kweli taifa haipo haja ya kuendelea na kukaaa na wababaishaji hawa wanao-mask uwezo wako. Okoa taifa lako Mchukue Sitta na Harrison pia.

Kumchukua Sitta hapana aisee, alishapoteza sifa tangu bunge la katiba. Labda Harrison
 
Si kweli, kwani mtu huwezi kusimamia kitu ambacho hukiafiki hata kidogo. Kama magufuli asingeliafiki kuuza nyumba za serikali asingeweza kusimamia uuzwaji ule na kuutetea hadi leo.

Kama ukisema ni maamuzi ya baraza la mawaziri hata kumfukuza Mrema ni maamuzi ya serikali na mawaziri kwa mantiki hiyo.

Issue kubwa hapa ni kwamba hakuna mtu msafi ndani ya CCM hata kidogo kila mtu ana ufisadi wake. Kikubwa ni kuiondoa CCM na kukiweka chama mbadala.
Yes, kikubwa ni kuiondoa CCM madarakani ili wapiga kura wa wakati wote wajiamini kuwa wanaweza kuwatia adabu watawala wasiotawala kwa watakwa ya wananchi
 
Back
Top Bottom