Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Mkuu,Usijitie ujuha kiasi hicho cha kujifanya hujui tofauti kubwa iliyopo wakati Mwalimu alipokuwa kiongozi wa Tanzania na hawa wahuni, wezi, wapokea rushwa n.k. Unadhani jina la Baba wa Taifa lilidondoka toka mbinguni? Unadhani kwanini Watanzania walio wengi bado wanampenda sana na kumuenzi pamoja na kuwa aling'atuka miaka 30 iliyopita?
Mkuu,
Mimi ninaongelea mfumo wewe unaleta masuala ya kudondoka kutoka mbinguni.
Kwani Mwl. Nyerere alichimbuliwa kutoka ardhini?
Nani amesema Mwl. Nyerere amedondoka kutoka mbinguni?
Kama suala ni utendaji, sasa hizi hoja za mfumo zinatoka wapi wakati mfumo ni ule ule.
Nadhani umedandia hoja bila hata kufahamu msingi wake!
Mkuu,
Hizo hoja za nyumba za serikali zimeishajibiwa na aliyekuwa Waziri Mkuu wa wakati huo, Frederick Sumaye.
Kwa maelezo zaidi, angalia hii video
[video]https://youtu.be/LofQGOS0bCM[/video]
Kuhusu yeye kuchukua nyumba, ingekuwa ni vizuri ukaleta documents hapa badala ya kuanza kujadili scuttlebutt lakini vile vile, kwani yeye hakuruhusiwa kisheria au kikanuni kununua nyumba zilizokuwa za serikali.
sisi huku chato tulimkataa toka zamani. ref: uchaguzi serikali za mitaa na vijiji
Heshima kwako mzee wng!! Mjukuu wako ntakutembelea hivi karibuni, ila nina tatizo na ramani/mitaa ta Dar , nikutafute mitaa ya Lumumba au ufipani Mzee wng!?Mnazi huzaa nazi;mahindi hayatoi maharage. Halali hutoa halali na haramu huzaa haramu. Batili mwanzo ni hadi mwisho pamoja na matokeo yake. Mchakato wa kumpata Dr. Magufuli,kama mgombea wa CCM,umesemwa na Kingunge kuwa ulikuwa batili. Dr. Magufuli hawezi kuwa halali.
Dr. Magufuli amepatikana katika mchakato batili. Ni kama hakukuwa na chochote Dodoma na hakuchaguliwa yeyote. Batili hubatilisha. Huchafua. Dr. Magufuli hawezi kubaki salama. Amechafuka na hachaguliki. Ni batili toka kwenye ubatili. Watanzania wawe macho.
Dr. Magufuli amepatikana kwa kukiuka kanuni. Yeye atazifuata? Amechaguliwa palipovunjwa sheria na taratibu. Yeye atazilinda za kinchi. Dr. Magufuli,tukimuamini Kingunge,amechafuka hasa. Hachaguliki!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Nadhani sa hvi utakuwa umeamka freeeshhhh,Mimi nilidhani Magufuli anachagulika lakini kwa sasa unasema hachaguliki!
Kwa hiyo wewe unadhani nani anachagulika?
Kuniambia fulani hachaguliki bila kunipa alternative ni sawa sawa na kutoa ushauri wa kijinga!
kingunge ni nani tz hii,mbona kamati ya maadili haikumjali na lowasa wake?afe salama mzee yule
...
....tunakuja na UFUNGUO WA MOTO
Nikuulize swali, Nyerere mnayemsifia kila siku aliongoza kupitia chama gani?
aliishia kusema Bila CCM Madhubuti Nchi itayumba,hatimaye tingatinga linaingia kurekebisha paliposinyaa.
Endelea kumzoea Magufuli kama Rais wako wa awamu ya tano,hauna namna nyingine.