Dr. Magufuli akiwa Misungwi mkoani Mwanza hii balaaa

Kwedu Kwazu

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
504
71
[h=3]
12140816_915356841834391_4657961673090119633_n.jpg
[/h]
12088593_915356871834388_8511501405354964612_n.jpg

12109938_915356801834395_5540294300457929105_o.jpg

11245493_915356758501066_2979853068454483453_n.jpg

11700957_698538643581325_6873535568687581110_o.jpg
Dr. Magufuli aendelea kuizika UKAWA Mwanza. Sasa Mwanza ni CCM 100%

Hakuna namna wazikwe tu, Chama gani cha kibaguzi kimeshindwa hata kwenda kumzika mwana ukawa mwenzao mzee Makaidi lakini alivyofariki mzee kisumo kwa kuwa wa kaskazini mwenzao wakapangana foleni kwenda kumzika lakini mzee Makaidi utadhani hakuwa mwenyekiti mwenza wa ukawa, hawa jamaa hawafai kupewa dola hata kidogo ni wakuogopwa kama ebola
 
UKAWA ni CHAGADEMA.
 
What? Makaidi atazikwa Jumanne Sinza! Wewe ulimzika lini? Leo wanafamilia wanaaga, Jumanne taifa linaaga...kama huna taarifa nyamaza.
 
Hakuna namna wazikwe tu, Chama gani cha kibaguzi kimeshindwa hata kwenda kumzika mwana ukawa mwenzao mzee Makaidi lakini alivyofariki mzee kisumo kwa kuwa wa kaskazini mwenzao wakapangana foleni kwenda kumzika lakini mzee Makaidi utadhani hakuwa mwenyekiti mwenza wa ukawa, hawa jamaa hawafai kupewa dola hata kidogo ni wakuogopwa kama ebola

wewe umemzika makaidi wapi?
 
Kinachonifurahisha ni CCM kutangaza kiingilio ni Nguo za njano na kijani! Hakuna chama cha siasa kingine chochote wanaofanya siasa hizi za maonyesho.

Sasa kama umesema wasanii watakuwepo (watu ambao huko Misungwi, Ngudu hawajawahi "kupiga sho") na 'kiingilio' ni hizo nguo(ambazo mtu anapewa) unategemea watu hawatahudhuria? Mmegeuza kampeni zenu kama Fiesta na sikukuu ya Nane nane!

Jitekenyeni wenyewe mkitegemea kucheka!
 
Magufuli kushinda huu uchaguzi ni miujiza..... Endeleeni kusomba watu tuone kama itaaasaidia
 
Back
Top Bottom