Dr. Lwaitama apewe uenyekiti CHADEMA na kugombea Urais 2020

Mkuu unaonesha upeo wako mdogo wa kuchanganua mambo unaposema kuwa cdm wanaumwa ugonjwa was kuropoka na matusi.inapaswa ujue kuwa vyama vya upinzani vimekuwepo Si hiari ya chama tawala(CCM) na ili kuenda nao sambamba wapinzani wanatakiwa wawe nà lugha kali na ujasiri wa kutenda bila kuogopa. Kuna mwanafalsafa mmojà alisema" An. abnomal behavior in an abnomal situation is a normàl behavior"Wapinzani wapo vizuri kuliko unàvyofikiri.
Ni kweli vipo kwa mujibu wa sheria lakini hili la kuropoka na matusi ni ugonjwa wa Chadema
 
Jiulize kupitia wachambuzi hawa wa soka Mzee Kashasha na Doctor Rick Je ni kwanini hawawezi kuwa makocha wa Taifa stars? Jibu utakalolipata ndo jibu la uzi wako huu.
 
Naunga mkono hoja kuwa Chadema inahitaji mtu mwingine kumkabili Magufuli 2020, ila kwa kwa maoni yangu sio mtu wa type la Lwaitama, kwanza kwa sababu Lwaitama bado sio mwanachama wa Chadema.

Kwa vile tayari tumeishamjua mgombea wa CCM 2020, ni the seating president, ili opposition ilete impact 2020, lazima ilete mgombea ambaye ni Zaidi ya Magufuli, mtu kama Tundu Lissu ambaye ni Zaidi ya Magufuli ndio anaweza kusaidia, kama nilivyoshauri hapa
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

P.
Dah.... Lissu hafai kuwa rais hata kwa dakika 2 tu...... labda ateuliwe ili kuongeza changamoto tu kwenye uchaguzi....si mzalendo..... ameumbwa kuwa mpinzani tu...
 
Naunga mkono hoja kuwa Chadema inahitaji mtu mwingine kumkabili Magufuli 2020, ila kwa kwa maoni yangu sio mtu wa type la Lwaitama, kwanza kwa sababu Lwaitama bado sio mwanachama wa Chadema.

Kwa vile tayari tumeishamjua mgombea wa CCM 2020, ni the seating president, ili opposition ilete impact 2020, lazima ilete mgombea ambaye ni Zaidi ya Magufuli, mtu kama Tundu Lissu ambaye ni Zaidi ya Magufuli ndio anaweza kusaidia, kama nilivyoshauri hapa
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

P.
Kweli we unamchukia rais ÿaani lissu yupo juu ya rais kiupeo kwa lipi kuropoka tu na kutukana mtendee haki rais japo humpendi

Nyue mavi na huyo dokta wenu mlomtuma mwambieni hapa hatumpi shushu kiti.... the chair sasa ni kwa lissu 2020 labda mkampige tena.
Hii ikufikia mleta uzi na wenzako wotee
 
Naunga mkono hoja kuwa Chadema inahitaji mtu mwingine kumkabili Magufuli 2020, ila kwa kwa maoni yangu sio mtu wa type la Lwaitama, kwanza kwa sababu Lwaitama bado sio mwanachama wa Chadema.

Kwa vile tayari tumeishamjua mgombea wa CCM 2020, ni the seating president, ili opposition ilete impact 2020, lazima ilete mgombea ambaye ni Zaidi ya Magufuli, mtu kama Tundu Lissu ambaye ni Zaidi ya Magufuli ndio anaweza kusaidia, kama nilivyoshauri hapa
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

P.

Ati Lissu kaonyesha Ubora kuliko Magufuli

Ubora Upi huo Aanze kuonyesha ubora ndani ya Chama chake kwa kudai Demokrasia ili Tujue ni Mwanasiasa Imara

Lissu tu kashindwa kukemea Zuruku inayopotea na kwenda Mfukoni mwa Watu Fulani Fulani
Basi nijiulize Lissu huyu makini ilikuaje akamtembeza Fisadi jeupe Jukwaani,??
 
Unaumwa akili wewe, mwandishi uchwara. Yaani eti Lissu ni zaidi ya Magufuli! Seriously? Lissu hampati Magu hata kwa ncha ya kidole. Utamlinganishaje mtu wenye ukosefu wa adabu na mropokaji kwa mtu anaesimama kama Nyerere wa II?
Mkuu Samti, huu ndio uzuri wa jf, tuna uhuru wa kusema lolote, hadi kuniita mimi mwandishi uchwala, kwa taarifa yako Lissu ni zaidi sana ya Magufuli katika maeneo fulani fulani. Usichanganye mtu kuwa na uwezo na nidhamu, uwezo ni ability na nidhamu ni morals, kuna watu kibao ni ma genius lakini nidhamu zero, na kuna watu ni wanyenyekevu, wenye heshima na nidhamu ya hali ya juu kama baadhi ya watoa mada humu, wanaanzisha threads kibao, lakini kichwani ni madebe matupu, totally empty shell!.
P.
 
Tumia akili hata kidogo basi. Eti apewe!!!!! CDM sio kama CCM mmempa tu uenyekiti Magu, eti utamaduni!!! CDM inambidi agombee na achaguliwe. Isitoshe kugombea urais sio lazima awe mwenyekiti.
 
Ni kamanda kindakindaki tangu 2015
Sawa mkuu, sikatai kwamba yeye ni mwana CDM.Ninachosema ni kwamba yeye ana akili kwa hiyo hawezi kujitosa huko kwa kuwa anajua hawezi. kushinda.Kwanza kwa kuwa sio presidential material, lakini pia kwa kuwa kwa siasa za leo possibility ya CDM kuingia Ikulu ni sifuri.Tuwe realistic.
 
Back
Top Bottom