Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,268
Lwaitama vs JPM what a big joke??? Hahahaahhah
Igwe wanaJF
Kutokana mambo yalivyo kwa sasa ni wazi Dr. Azavery Lwaitama anafaa kuwa mwenyekiti wa Chadema na apeperushe bendera ya uraisi Chadema mwaka 2020. Kwa hali ilivyo kwa sasa Dr. Lwaitama anafaa kwa vigezo vifuatavyo:
Kuna mengi ya kumuelezea Dr. Lwaitama lakini kwa uchache yaliyoorodheshwa ni baadhi ya sifa zake.Nakaribisha michango zaidi japo ninamaliza kwa kusema ili Chadema ipate huduma ya Dr. Lwaitama yapaswa alindwe uhai wake dhidi ya kundi la masultani ambao wao hupambana na yeyote anayeonekana kutaka kutwaa uenyekiti ndani ya Chadema.
- Ni msomi ukilinganisha na makamanda waliopo kwa sasa.Chadema itaepuka mtihani wa ukaguzi wa vyeti na kwa sasa nchi inahitaji wasomi wazuri kama Lwaitama kwani katika mazungumzo yake anaonesha kuwa anaijua dhana ya maendeleo.
- Chadema hawahitaji kumsafisha bali watamnadi tu ikumbukwe kwa sasa ni ngumu kumpata mgombea asiye na makando ya ufisadi.
- Anatoka kanda ya ziwa.Dr.Lwaitama ni mwenyeji wa kanda ya ziwa.Chadema wanahitaji mtu wa kurudisha ushawishi kanda ya ziwa kama alivyofanikiwa Dr. Slaa.
- Atavunja makundi ndani ya chama. Chadema kwa sasa inaugonjwa mkubwa wa ukanda, ukabila, udini, usasa na uzamani. Namuona msomi Dr. Lwaitama akienda kuyatibu.
- Ugonjwa wa kuropoka na matusi, pengine Chadema kinashika nambari moja ulimwenguni kwa matusi na kuropoka bila kuwa na akiba ya maneno. Wengi waliowatukana sasa ndio wafalme wao.Hili ni pepo ambalo Dr. Lwaitama anatakiwa kulidhibiti.
- Dr. Lwaitama ni "CCM mfu" naam, Chadema inahitaji mtu aliyekulia CCM ili kuwafunda namna ambavyo chama cha siasa kinatakiwa kufanya kazi.Dr.Lwaitama anauwezo wa kutengeneza makada wa chama na sio "makamanda" sina shaka na hili kwani ni mwanafunzi mtiifu wa Mzee Mangula.
Nawasilisha kwa unyenyekevu.
Dr. Lwaitama ni mwanaCCM mfu.Igwe wanaJF

Hahaha...we mzushi itakuwa tulisoma wote weweHuyu Mzee namjua tokea akiwa Mwalimu wangu wa somo Fulani chuo kikuu
nakimbuka siku moja mvua ilinyesha Kwa wingi tuko sehem , akavua viatu akakunja suruali akala mdogo mdogo , hahaha
Baadae nkaja kumkuta kagera chuo cha JOCUCo ambako nilienda Kwa shughuli maalumu
Anaweza akawa Rais Ila wa mioyo ya watu kama waliopita,
Ila lwaitama kachoka na mawazo yake nayajua mimi, naungana na Pascal Mayalla
Wafikilien
1. Mbatia
2. Mbowe mwenyewe
3. Zitto kabwe
4. Mnyika
5. Tundu lissu
Hata kama alijiunga na Chadema, bado sio size ya cMugufuli, namfahamu vizuri Prof. Lwaitama, he is the best just a barking dog only he doesn't bite. Magufuli anahitaji someone who can not only bark, but who can also bite so that he can get to feel the pich, so far kwenye opposition iliyopo, only two people can do that, ni Zitto na Lissu.Alijiunga na Chadema kipindi cha kampeni mwaka 2015 Dodoma ni mwanachama halali wa Chadema japo ni mwana "CCM mfu"
@valiant umekumbuka Jambo nini?Hahaha...we mzushi itakuwa tulisoma wote wewe
Akikubali atakuwa mjinga kweli kweli.Kujiingiza kwenye siasa,tena kwenye chama cha upinzani ni suicide.Naamini Rwaitama ana akili ya kutosha, hawezi kufanya such a grave mistake.Kwanza anajua possibility ya kushinda ni nil.Igwe wanaJF
Kutokana mambo yalivyo kwa sasa ni wazi Dr. Azavery Lwaitama anafaa kuwa mwenyekiti wa Chadema na apeperushe bendera ya uraisi Chadema mwaka 2020. Kwa hali ilivyo kwa sasa Dr. Lwaitama anafaa kwa vigezo vifuatavyo:
Kuna mengi ya kumuelezea Dr. Lwaitama lakini kwa uchache yaliyoorodheshwa ni baadhi ya sifa zake.Nakaribisha michango zaidi japo ninamaliza kwa kusema ili Chadema ipate huduma ya Dr. Lwaitama yapaswa alindwe uhai wake dhidi ya kundi la masultani ambao wao hupambana na yeyote anayeonekana kutaka kutwaa uenyekiti ndani ya Chadema.
- Ni msomi ukilinganisha na makamanda waliopo kwa sasa.Chadema itaepuka mtihani wa ukaguzi wa vyeti na kwa sasa nchi inahitaji wasomi wazuri kama Lwaitama kwani katika mazungumzo yake anaonesha kuwa anaijua dhana ya maendeleo.
- Chadema hawahitaji kumsafisha bali watamnadi tu ikumbukwe kwa sasa ni ngumu kumpata mgombea asiye na makando ya ufisadi.
- Anatoka kanda ya ziwa.Dr.Lwaitama ni mwenyeji wa kanda ya ziwa.Chadema wanahitaji mtu wa kurudisha ushawishi kanda ya ziwa kama alivyofanikiwa Dr. Slaa.
- Atavunja makundi ndani ya chama. Chadema kwa sasa inaugonjwa mkubwa wa ukanda, ukabila, udini, usasa na uzamani. Namuona msomi Dr. Lwaitama akienda kuyatibu.
- Ugonjwa wa kuropoka na matusi, pengine Chadema kinashika nambari moja ulimwenguni kwa matusi na kuropoka bila kuwa na akiba ya maneno. Wengi waliowatukana sasa ndio wafalme wao.Hili ni pepo ambalo Dr. Lwaitama anatakiwa kulidhibiti.
- Dr. Lwaitama ni "CCM mfu" naam, Chadema inahitaji mtu aliyekulia CCM ili kuwafunda namna ambavyo chama cha siasa kinatakiwa kufanya kazi.Dr.Lwaitama anauwezo wa kutengeneza makada wa chama na sio "makamanda" sina shaka na hili kwani ni mwanafunzi mtiifu wa Mzee Mangula.
Nawasilisha kwa unyenyekevu.
Ila Zitto naye simpi sifa siyo kivile Hana tofauti na LwaitamaHata kama alijiunga na Chadema, bado sio size ya cMugufuli, namfahamu vizuri Prof. Lwaitama, he is the best just a barking dog only he doesn't bite. Magufuli anahitaji someone who can not only bark, but who can also bite so that he can get to feel the pich, so far kwenye opposition iliyopo, only two people can do that, ni Zitto na Lissu.
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
P
Hilo tukio nilishuhudia@valiant umekumbuka Jambo nini?
Mtu sahihi ni lissu.ingawa nisingependa lissu agombee 2020.coz by hooks and cooks the incumbent must winIla Zitto naye simpi sifa siyo kivile Hana tofauti na Lwaitama
Naunga mkono hoja kuwa Chadema inahitaji mtu mwingine kumkabili Magufuli 2020, ila kwa kwa maoni yangu sio mtu wa type la Lwaitama, kwanza kwa sababu Lwaitama bado sio mwanachama wa Chadema.
Kwa vile tayari tumeishamjua mgombea wa CCM 2020, ni the seating president, ili opposition ilete impact 2020, lazima ilete mgombea ambaye ni Zaidi ya Magufuli, mtu kama Tundu Lissu ambaye ni Zaidi ya Magufuli ndio anaweza kusaidia, kama nilivyoshauri hapa
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
P.
Naona umepata dozi mpyaaSina hakika kama lissu ni blindi kias hicho, yaan aende ACT? sema Zitto ndo atarejea chadema
Huyu sawa kabisa. Na uzuri hata Magufuli na wapambe wake wote wanajuwa kuwa Lissu ni wa level ya juu kuliko wao.Naunga mkono hoja kuwa Chadema inahitaji mtu mwingine kumkabili Magufuli 2020, ila kwa kwa maoni yangu sio mtu wa type la Lwaitama, kwanza kwa sababu Lwaitama bado sio mwanachama wa Chadema.
Kwa vile tayari tumeishamjua mgombea wa CCM 2020, ni the seating president, ili opposition ilete impact 2020, lazima ilete mgombea ambaye ni Zaidi ya Magufuli, mtu kama Tundu Lissu ambaye ni Zaidi ya Magufuli ndio anaweza kusaidia, kama nilivyoshauri hapa
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
P.
Hahaha incumbent akishawin inapunguza mori Kwa watu kumchagua Lissu tena Kwa mara yapiliMtu sahihi ni lissu.ingawa nisingependa lissu agombee 2020.coz by hooks and cooks the incumbent must win
Profesa kabudi na profesa lipumba ni wasomi pia mkuu! Tunafikiria MTU ambaye hana bei tupe muda tutakujibuIgwe wanaJF