Dr. Lwaitama apewe uenyekiti CHADEMA na kugombea Urais 2020

Hahaha incumbent akishawin inapunguza mori Kwa watu kumchagua Lissu tena Kwa mara yapili

Lakin pia naona kama utaratibu wa mwislamu na mkristo unakufa next term Nina uhakika uo maana makonda makonda makonda makonda narudia makonda
Kitendo cha TL kugombea 2020 kwisha habari yake
 
Naunga mkono hoja kuwa Chadema inahitaji mtu mwingine kumkabili Magufuli 2020, ila kwa kwa maoni yangu sio mtu wa type la Lwaitama, kwanza kwa sababu Lwaitama bado sio mwanachama wa Chadema.

Kwa vile tayari tumeishamjua mgombea wa CCM 2020, ni the seating president, ili opposition ilete impact 2020, lazima ilete mgombea ambaye ni Zaidi ya Magufuli, mtu kama Tundu Lissu ambaye ni Zaidi ya Magufuli ndio anaweza kusaidia, kama nilivyoshauri hapa
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

P.
Kuhusu uanachama wake sio hoja sana maana hata EL hakuwa mwanachama wa chadema mpaka takriban wiki mbili kabla hajawa mgombea wao. Tatizo Dr hana 'moto' inayotakiwa ili gia igeuzwe angani.
 
Hakika siasa hakika ni jambo la ajabu sana. Hapa huyo doc kukosoa utawala uliopo anasifiwa kama malaika, hadi kufikiriwa kugombea urais. Ngoja akosoe upinzani, au asifie utawala uliopo kama Doctor "Bansen Burner" utasikia ametumwa, mchumia tumbo huyo and blah blah kibao.
Naam hao ndio "makamanda"
 
Akikubali atakuwa mjinga kweli kweli.Kujiingiza kwenye siasa,tena kwenye chama cha upinzani ni suicide.Naamini Rwaitama ana akili ya kutosha, hawezi kufanya such a grave mistake.Kwanza anajua possibility ya kushinda ni nil.
Ni kamanda kindakindaki tangu 2015
 
Hata kama alijiunga na Chadema, bado sio size ya cMugufuli, namfahamu vizuri Prof. Lwaitama, he is the best just a barking dog only he doesn't bite. Magufuli anahitaji someone who can not only bark, but who can also bite so that he can get to feel the pich, so far kwenye opposition iliyopo, only two people can do that, ni Zitto na Lissu.

Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
P
Sasa Tundu agombee kupitia chama gani? Wenye Chadema hawamkubali. Zitto kakimbiwa huku Chadema wakimuona msaliti. Labda Lissu akamilishe uamisho wake kwenda Act na pia Chadema asili wamfuate
 
Naunga mkono hoja kuwa Chadema inahitaji mtu mwingine kumkabili Magufuli 2020, ila kwa kwa maoni yangu sio mtu wa type la Lwaitama, kwanza kwa sababu Lwaitama bado sio mwanachama wa Chadema.

Kwa vile tayari tumeishamjua mgombea wa CCM 2020, ni the seating president, ili opposition ilete impact 2020, lazima ilete mgombea ambaye ni Zaidi ya Magufuli, mtu kama Tundu Lissu ambaye ni Zaidi ya Magufuli ndio anaweza kusaidia, kama nilivyoshauri hapa
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

P.
Unaumwa akili wewe, mwandishi uchwara. Yaani eti Lissu ni zaidi ya Magufuli! Seriously? Lissu hampati Magu hata kwa ncha ya kidole. Utamlinganishaje mtu wenye ukosefu wa adabu na mropokaji kwa mtu anaesimama kama Nyerere wa II?
 
Usomi uliotukuka pekee siyo tiketi au kigezo cha mmoja kuwa Mgombea Urais. Kuna nchi nyingi tu zimepata Marais wasio Wasomi wa mifano ya akina Lwaitama lakini kwa kutanguliza mbele mambo mengine ya msingi na kushirikiana na kila Kundi la Wananchi waliopo katika nchi zao wameweza Kuongoza vyema hizo nchi na ziko ambazo pia zimetuacha Kimaendeleo / Kimafanikio.
Dr. Lwaitama huenda akawa muarobaini Chadema
 
Back
Top Bottom