Dr. Luis Moreno-Ocampo / ICC Contacts

afrolife

Senior Member
Oct 27, 2009
154
102
Wana JF,

yaliyotokea juzi huko Arusha yanasikitisha, kuuzunisha na kutia uchungu sana; ikiwezekana volunteering lawyers yeyote au chadema lawyers basi mu-seek attention ya haya mauaji ya wananchi wasio na hatia na uvunjifu wa sheria na katiba za nchi yetu kwa mahakama za kimataifa kama ICC ili haki itendeke, sababu sasa mafisadi wameshaamua kuchukua na uhai wa watu wetu pia. Below are the ICC contacts kwa wadau wanasheria wenye upeo wa kuwasilisha haya mauaji kisheria. Ni kumkoma nyani giladi tu, damu za hao marehemu si vema zikapotea bure!!

Contact

Please use one of the working languages of the Court - English or French - for any correspondance.

Postal Address

Po Box 19519
2500 CM, The Hague
The Netherlands

Visiting the International Criminal Court

Main Entrance Hearings/Visits

Maanweg, 174 Regulusweg
2516 AB, The Hague 2516 AB, The Hague
The Netherlands The Netherlands
Tel. + 31 (0)70 515 8515 Email visits@icc-cpi.int
Fax +31 (0)70 515 8555 Fax +31 (0)70 515 8499
Map More information

Communications and claims under art.15 of the Rome Statute may be addressed to:

Information and Evidence Unit
Office of the Prosecutor
Post Office Box 19519
2500 CM The Hague
The Netherlands

or sent by email to otp.informationdesk@icc-cpi.int ,
or sent by facsimile to +31 70 515 8555.
 
Yes, agree. Umesaidia hapa Marando et al wafungue kesi the Hague tu kieleweke naka raia mahakama inaruhusu kufail kesi huko
 
kweli
ocampo awez kuwapotezea
anawachek tu kwa kina ili ajue awaanzeje
 
HahahahAAaaaah, wakwanza kushikwa ataku Slaa wapili Mbowe kwa kulazimisha maandamano yaliopigwa marufuku. Kama mnabisha nendeni, yatawakuta kama ya Dowans. Tuliwa tahadharisha humu humu JF kuwa kesi ya Dowans haishindiki. Na sasa tunawatahadharisha kuwa kesi ya uvunjaji amani kwa makusudi haishindiki.

Hao ICC wanaijuwa Tanzania kuliko mnavyoijuwa Tanzania. Na wanajuwa ni nani walioanzisha fujo na uvunjifu wa amani. Kama mnabisha nendeni.
 
crap!
 
what happened in Arusha, should be condemned by Tanzanians and international community.
It is proper to file a case at ICC.
Ocampo hakualikwa Kenya na Kibaki, Alijialika mwenyewe, sasa lazima aje Tanzania.
Wafuatao ndo wa kwanza kwenye list yake Ocampo itakavyokuwa:
1. IGP Said Mwema
2. Shamsi Vuai Nahodha
3. JK
4. RPC Andengeye
5. OCD Zuberi
6. Makamba
7. Mkurugenzi jiji Arusha
8. Kivuyo
9. Lyimo
10. Wabunge viti maalum CCM
11. Madiwani CCM
12. Katibu wa Bunge
14. Askari wa Arusha waliua raia bila hatia
15. Mpelelezi wa polisi Arusha
16. Kamati ya ulinzi na usalama jijini Arusha
hii ni list fupi tu, na mashahidi wapo...majeruhi, video za picha polisi walivyoanzisha vurugu, walioharibiwa na mali zao kutokana na moto uliosababishwa na mabomu waliyolipuliwa na polisi.
familia za waliofariki kwenye tukio hilo
waandishi wa habari waliopigwa, kuharibiwa vifaa vyao vya kazi na wengine polisi kufuta picha za matukio waliyochukua siku ya tukio.

Ee Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema, tunakuomba uwarehemu wale wote waliopumzika baada ya kuuwa kama mashahidi kwenye tukio la polisi kuwapiga raia wasio na hatia. R.I.P, AMEN
 
Wanamageuko wote kuanzia sasa kila mmoja wetu atume email kwa anuani hiyo kulalamikia huu udhalimu, vilevile tutume ktk media zote za duniani na kuwalaumu kwann hawaripoti udhalimu huu? wanamageuko wote tukituma haki tena wataweka tensheni, hakuna kitu mkwere anaogopa kama hii. mwenye anuani za media tafadhal bandika kazi ianze mara 1.
 
Great thinkers waliwatahadharisha viongozi wote wote wenye mamlaka hapa tz wakaona hao njaa kali sasa watakula jeuri yao haki ya Mungu ocampo yupo njiani msepe mapema wana!
 
HahahahAAaaaah, wakwanza kushikwa ataku Slaa wapili Mbowe kwa kulazimisha maandamano yaliopigwa marufuku. Kama mnabisha nendeni, yatawakuta kama ya Dowans. Tuliwa tahadharisha humu humu JF kuwa kesi ya Dowans haishindiki. Na sasa tunawatahadharisha kuwa kesi ya uvunjaji amani kwa makusudi haishindiki.

Hao ICC wanaijuwa Tanzania kuliko mnavyoijuwa Tanzania. Na wanajuwa ni nani walioanzisha fujo na uvunjifu wa amani. Kama mnabisha nendeni.

Hapo mwana hadanganyiki mtu hata huyo mliozowea kumdanganya na ushauri fake kashtuka jipeni moyo mtashindwa tu! hiyo shuka uliojifunika ni fupi lazima UKUNJE Miguu la sivyo mmbu hawakuachi dogo!
 
Back
Top Bottom