Dr. LOVE - Strictly for women...Ask me anything!

Mbu,
Mkuu taratibu hii ndio hulka yetu ambayo huwashinda sana hawa dada zetu. Ni swala la kufahamishana na mara nyingi usichoke kumfahamisha mwanamke kwa lugha laini.
Kumbuka tu kwamba wananake ni very sensitive ktk mambo fulani fulani. Na kama unavyoona wamesha ingia mitini tayari, pamoja na kwamba wana mengi yamewajaa tele vichani.

WomenofSubstanc,
Haaa bibie hivi kumbe ulitaka kujua kama nimeshaopnja dawa yangu mwenyewe..Lol, sifanyi biological treatment wala usije fikiria nina ujuzi ktk anga hizo. Na hata hao wajuzi wa madawa yetu huwa hawaonji wao bali hutumia Guinea pigs kwanza kabla ya binadamu au sio.
Pamoja na yote haya nirushie maswali, I'm sure una matatizo kuhusiana na wanaume lakini kwa sababu wengi mnafikiri mnafahamu source au chanzo cha matatizo yetu (always ni mwanaume) ndipo mnapogonga ukuta..Kumbuka tu Men are from Mars, tunaongea lugha tofauti kabisa inapofikia mapenzi na kamwe hamtaweza kutuelewa bila kujifunza toka kwetu..why not learn a few things about Mars, tena bureeee!
 
Mbu,
Mkuu taratibu hii ndio hulka yetu ambayo huwashinda sana hawa dada zetu. Ni swala la kufahamishana na mara nyingi usichoke kumfahamisha mwanamke kwa lugha laini.
Kumbuka tu kwamba wananake ni very sensitive ktk mambo fulani fulani. Na kama unavyoona wamesha ingia mitini tayari, pamoja na kwamba wana mengi yamewajaa tele vichani...

...sawa nimekusikia mkuu. Mzee wangu alikuwa haachi kuniusia "yakinizidi sana kooni" nichukue bilauri ninywe funda mbili tatu za maji baridi, tena ikiwezekana yenye barafu.

Watakuja tu, wala usitie shaka,...kaskazi nayo hiyooo inakuja, pupwe haiongopi 'kwa wenye manyoya haba!'

...sie wengine mpaka tukaukoge mwaka 'Makunduchiii!!' :)
 
DMussa,
Ni sawa na mganga anayetibu kwa dawa ambayo hajawahi kuionja.

kwa hiyo ili mganga atibu ni lazima awe amewahi kuugua hayo maradhi????? if that is the case then kuna hatari kubwa sana kuamini kwamba Dr. Love anaweza kuwa na msaada cos siamini kama mahusiano yote yako identical.....
 
Back
Top Bottom