britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
kabla ya kuchangia uzi huu jiulize maswali yafuatayo
1. Kuna sehem kunaonesha ametaja kwamba atanunua nyumba hizo, yeye alikuwa anataja tu
kama mshauri wa mnada, mfano kulingana na mazingira ya madeni ya lugumi, yeye alikuwa akiwasilisha maneno yake kama anaye washauri kiasi cha kupokea
mdau mmoja aliposema kwamba millioni 400 yeye akasema naona 600 haitadhuru
mwingine aliposema kwamba milioni mianane , yeye akasema 900 itapendeza
hivyo matamshi yake yamejikita kama kushauri hakuna sehem alisema niuzie kwa kiasi fulani
2. Katika matamshi yake hakuna sehem kataja neno milioni au billion au shillingi, yeye kataja namba tu hajaspesfy ni unit gani gram? kilometer? au nyuzijoto
nadhani 600 haitadhuru, naona tufanye 700, 900 itapendeza,
kwahiyo hapa yono ndo hawakuwa makini sana na mteja wao, kisheria anawashinda,
3. Taratibu za minada ya Tanzania inafanya vibaya,
a. washiriki wa mnada wangekuwa wanaapply wanapitia vigezo kabla ya kukusanyika pale maana kuna ambao wanaweza kuwa wametumwa kuvuruga,
b. kichaa akija akataja bei yeyote utamchukulia hatua gani? kwahiyo sera ya minada ipitiwe upya
4. mbaya zaidi baadhi ya taratibu wanatajiwa wameshafika mnadani kwamba utalipa 25% ilibidi hayo maelezo yawekwe kwenye matangazo ya mnada kabla , maana mtu anaweza kuwa anategemea hela kutoka sehemu
usiku mwema Nadhani kulala saa nane itapendeza