Dr Louis Shika kimantiki na kisheria hana kosa

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
kabla ya kuchangia uzi huu jiulize maswali yafuatayo
1. Kuna sehem kunaonesha ametaja kwamba atanunua nyumba hizo, yeye alikuwa anataja tu
kama mshauri wa mnada, mfano kulingana na mazingira ya madeni ya lugumi, yeye alikuwa akiwasilisha maneno yake kama anaye washauri kiasi cha kupokea
mdau mmoja aliposema kwamba millioni 400 yeye akasema naona 600 haitadhuru
mwingine aliposema kwamba milioni mianane , yeye akasema 900 itapendeza

hivyo matamshi yake yamejikita kama kushauri hakuna sehem alisema niuzie kwa kiasi fulani

2. Katika matamshi yake hakuna sehem kataja neno milioni au billion au shillingi, yeye kataja namba tu hajaspesfy ni unit gani gram? kilometer? au nyuzijoto
nadhani 600 haitadhuru, naona tufanye 700, 900 itapendeza,
kwahiyo hapa yono ndo hawakuwa makini sana na mteja wao, kisheria anawashinda,

3. Taratibu za minada ya Tanzania inafanya vibaya,
a. washiriki wa mnada wangekuwa wanaapply wanapitia vigezo kabla ya kukusanyika pale maana kuna ambao wanaweza kuwa wametumwa kuvuruga,
b. kichaa akija akataja bei yeyote utamchukulia hatua gani? kwahiyo sera ya minada ipitiwe upya

4. mbaya zaidi baadhi ya taratibu wanatajiwa wameshafika mnadani kwamba utalipa 25% ilibidi hayo maelezo yawekwe kwenye matangazo ya mnada kabla , maana mtu anaweza kuwa anategemea hela kutoka sehemu
usiku mwema Nadhani kulala saa nane itapendeza

Huyo jamaa angetaka kupiga bao, alipofika benki angeandika cheque ya sh 900 au cheque ya sh 225 (25% ya sh 900). Kwa kufanya hivyo, ange urgue kwamba alishinda mnada na alikuwa yuko tayari kulipa atleast hiyo 25% kama sheria inavyotaka...angeweza pia kuweka pingamizi mahakamani kuwa ameshinda mnada kihalali na hizo nyumba ni mali zake kisheria (akafungua kesi nyingine kuzuia uuzwaji wa nyumbazake ambayo labda kesi hiyo ingetumia miaka minne kuisha- although kwa serikali ya Magu sidhani kama wange entertain upuuzi huo haswa linapokuja swala la kukusanya mapato ya serikali ).
 
This was planned..
 
Hahaha nikimuona mahali huyu nampa balimi aende zake!

Imenikumbusha mzee mmoja alikua mtata sana..kapanda hewani sana..alikua akipanda daladala hakai kwenye siti anakaa chini mnapo kanyaga..konda ajichanganye kumdai mziki wake..dahh sijui Alifia wp ..haha anasauti Kali ya ubabe na mkorofi..
 
anasema amekaa chini siyo lkwa seat
 
kabla ya kuchangia uzi huu jiulize maswali yafuatayo
1. Kuna sehem kunaonesha ametaja kwamba atanunua nyumba hizo, yeye alikuwa anataja tu
kama mshauri wa mnada, mfano kulingana na mazingira ya madeni ya lugumi, yeye alikuwa akiwasilisha maneno yake kama anaye washauri kiasi cha kupokea
mdau mmoja aliposema kwamba millioni 400 yeye akasema naona 600 haitadhuru
mwingine aliposema kwamba milioni mianane , yeye akasema 900 itapendeza

hivyo matamshi yake yamejikita kama kushauri hakuna sehem alisema niuzie kwa kiasi fulani

2. Katika matamshi yake hakuna sehem kataja neno milioni au billion au shillingi, yeye kataja namba tu hajaspesfy ni unit gani gram? kilometer? au nyuzijoto
nadhani 600 haitadhuru, naona tufanye 700, 900 itapendeza,
kwahiyo hapa yono ndo hawakuwa makini sana na mteja wao, kisheria anawashinda,

3. Taratibu za minada ya Tanzania inafanya vibaya,
a. washiriki wa mnada wangekuwa wanaapply wanapitia vigezo kabla ya kukusanyika pale maana kuna ambao wanaweza kuwa wametumwa kuvuruga,
b. kichaa akija akataja bei yeyote utamchukulia hatua gani? kwahiyo sera ya minada ipitiwe upya

4. mbaya zaidi baadhi ya taratibu wanatajiwa wameshafika mnadani kwamba utalipa 25% ilibidi hayo maelezo yawekwe kwenye matangazo ya mnada kabla , maana mtu anaweza kuwa anategemea hela kutoka sehemu
usiku mwema Nadhani kulala saa nane itapendeza

Mbona kataja mkuu tena siyo mara moja? Kataja sehemu nyingi na kuna sehemu kamsahihisha mtangazaji kwa kutaja figure sahihi, ilokuwa 1.1bil, mwendesha mnada alichemka dr kamsaidia kutaja vizuri
 
Huyo jamaa angetaka kupiga bao, alipofika benki angeandika cheque ya sh 900 au cheque ya sh 225 (25% ya sh 900). Kwa kufanya hivyo, ange urgue kwamba alishinda mnada na alikuwa yuko tayari kulipa atleast hiyo 25% kama sheria inavyotaka...angeweza pia kuweka pingamizi mahakamani kuwa ameshinda mnada kihalali na hizo nyumba ni mali zake kisheria (akafungua kesi nyingine kuzuia uuzwaji wa nyumbazake ambayo labda kesi hiyo ingetumia miaka minne kuisha- although kwa serikali ya Magu sidhani kama wange entertain upuuzi huo haswa linapokuja swala la kukusanya mapato ya serikali ).

Wangeangalia swala la reasonability, je alichotaja ni reasonable na justfiable?
 
Mnada wa kwanza alisema naanza na milioni 300 , haya maneno ya hakusema milion sijui mnayatoa wapi, angalia video YouTube za Millard Ayo "mwanzo mwisho wa dk Luis shika."

Halafu vilevile kisheria mwenzako anasema milion 810 ww unasema tufanye 900 manake unaongezea alipoishia mwenzako!
 
Huyu jamaa ni Dr wa nini?
Usikute ni wa sheria na anaelewa anachokifanya Yono wanapaki kupapuka wakishindwa Mara 8 itapendeza
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom