Dr. Levy Anena Juu Ya Wema Sepetu.

Dr. Levy Anena Juu Ya Wema Sepetu.

Aisee yule ndiye aliye andika hii essay " basi yupo vizuri upstairs " kambomoa kinoma noma .. safi sana
Yuko Vizuri ,ukisikiliza nyimbo yake ile na Juma nature "kura yangu " mistari mizuri sana,nyimbo all Yoshi rink she a na afande Sele ,"uwanja mpya"na ile ya sugu na gweir ,"ringa"
 
Sina haja ya kumlaumu Wema, kwani ishathibitika bila shaka katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwamba anatafuna majani au kuyapuliza. So kama mtu akiitwa mtaani ni mvuta bangi nadhani kila mmoja anajua tabia za wavuta bangi same applies to Madam the Tanzania's Sweetheart. Tumwache na kumdharau kama wavuta bangi wengine mitaani mwetu
 
Paragraph tatu za mwanzo hapo juu kama kuna mtu hata kama akawa siyo wema akizisoma katikati ya mistari akazielewa zitamfaa sana!

Huku mitaani tunao wanawake japo wao hawarushi mitandaoni kama alivyofanya huyu kichwa panzi ila wanaishi maisha kama anayoyaishi so kama wataipitia hii article itawafaa sana.
 
Doc gani ana kichambo kama cha James Delicious?..haya maajabu
 
Alihukumiwa kwa bangi lakini watu wanamsema kama vile hawajui kama ni mvuta bangi
 
Ndyo maana Trump huwa anasema sisi watu weusi siyo binadamu kamili,kilizama kivuko cha MV Nyerere lkn suala hilo lilionekana kama ni jambo dogo sana,watumishi wa umma hawajapanda madaraja kwa zaidi ya miaka mnne lkn hakuna anayepaza sauti,wastaafu wapo mitaani na hawajalipwa fedha zao lkn hakuna anayelizungumzia suala hilo pia,ajira hakuna lkn watu wote wapo kimya ila haya yanayofanywa na Wema Sepetu na Amber Rutty pamoja na Amber Lulu juu ya miili yao ndyo yamekuwa mambo ya maana sana
Lazma tukubali kuwa sisi ndyo wenye matatzo kwenye vichwa vyetu na siyo hao akina Wema na Amber (Rutty na Lulu)
Daah umeongea bonge la point brother.... Big up.
 
Naanza kukubali mawazo ya Anko Magu aliposema mitandao ya jamii ifungwe hasa hiyo Insta siiiipendiii.
 
Siku tamani hata liishe,bandiko mengine bhana duh!!raha kuzisoma kwa kwl!
 
Back
Top Bottom