Dr. Levy Anena Juu Ya Wema Sepetu.

Hizi ndiyo point...

Mitandaoni hasa insta ndiko ambako unakutana na
mrembo mzuri mpaka unaogopa. Amewiva na
maelezo yake mengi anatumia kiingereza. Kila siku
anatupia picha mpya, nywele mpya na nguo mpya. Na zaidi maeneo anayopigia picha ni tofauti tofauti na yote hayafanani na maisha ya Mtanzania wa kawaida.

Kadiri unavyomfuatilia kila siku kwenye ukurasa wake, ndivyo ambavyo na wewe unaanza kuishi kwa mawazo. Unajiona umechelewa maisha. Unahisi kutengwa na dunia. Unadhani pengine ni wewe tu unayekula ugali bamia nchi hii. Wanakutisha mpaka unatamani kushika bunduki 'ukamteke Mo' mwingine.
 
Wakati mwingine huwa nafikiria hotuba ya waziri mkuu wa israel unaweza ufikiri sawa,ijapokuwa si kweli mawazo yake,hivi sisi waafrika tuna akiri gani?
Hivi wema ananini cha ziada hata hatulali kila ukisoma huku wema sepetu ana nini? Hivi tuliambiwa wema alikamatwa na misokoto ya bangi sasa hamuoni kwamba mvuta bangi kwake hayo ni jambo dogo tena hatahivyo akiendelea kuvuta ataanzavkutembea bila nguo hiyo ni kawaida ya bangi,
 
Same same
IMG-20181014-WA0006.jpg
 
huyu jamaa tunatoka kitaa kimoja. huwezi amini anayosema kayafanya sana sema kulikuwa hamna simu. simtetei wema upumbavu na upumbavu tu lazima ukemewe
 
Japo dr amesema Wema sio mtu wa kumshauri tena, lakini kwenye ujumbe huu amemshauri tena zaidi ya wakati wowote ule.
Dr ni vile tu sikio la kufa, kuna wakati unajiuliza hv huyu dada Baba yake angekuwepo duniani, bado tu angeendelea kubadilishia chupi mitandaoni?... Au hana ndugu wa kuwaheshimu na kuogopa kufanya ujinga huo?
Unapata jibu kuwa malaya hachungwi".. Acheni amalizie yuko mwishoni kabisa
 
Ndyo maana Trump huwa anasema sisi watu weusi siyo binadamu kamili,kilizama kivuko cha MV Nyerere lkn suala hilo lilionekana kama ni jambo dogo sana,watumishi wa umma hawajapanda madaraja kwa zaidi ya miaka mnne lkn hakuna anayepaza sauti,wastaafu wapo mitaani na hawajalipwa fedha zao lkn hakuna anayelizungumzia suala hilo pia,ajira hakuna lkn watu wote wapo kimya ila haya yanayofanywa na Wema Sepetu na Amber Rutty pamoja na Amber Lulu juu ya miili yao ndyo yamekuwa mambo ya maana sana
Lazma tukubali kuwa sisi ndyo wenye matatzo kwenye vichwa vyetu na siyo hao akina Wema na Amber (Rutty na Lulu)
Huu ndiyo ukweli
 
Sijui ndo kupitwa na wakati huyo Amber rutty nimemsikia akitrend now but sikuwahi kumsikia b4 yy ni msanii wa nini, muziki, maigizo or what hebu nipeni intro kidogo
 
Ndyo maana Trump huwa anasema sisi watu weusi siyo binadamu kamili,kilizama kivuko cha MV Nyerere lkn suala hilo lilionekana kama ni jambo dogo sana,watumishi wa umma hawajapanda madaraja kwa zaidi ya miaka mnne lkn hakuna anayepaza sauti,wastaafu wapo mitaani na hawajalipwa fedha zao lkn hakuna anayelizungumzia suala hilo pia,ajira hakuna lkn watu wote wapo kimya ila haya yanayofanywa na Wema Sepetu na Amber Rutty pamoja na Amber Lulu juu ya miili yao ndyo yamekuwa mambo ya maana sana
Lazma tukubali kuwa sisi ndyo wenye matatzo kwenye vichwa vyetu na siyo hao akina Wema na Amber (Rutty na Lulu)
Umegusa penyewe mkuu!
 
Wakati mwingine huwa nafikiria hotuba ya waziri mkuu wa israel unaweza ufikiri sawa,ijapokuwa si kweli mawazo yake,hivi sisi waafrika tuna akiri gani?
Hivi wema ananini cha ziada hata hatulali kila ukisoma huku wema sepetu ana nini? Hivi tuliambiwa wema alikamatwa na misokoto ya bangi sasa hamuoni kwamba mvuta bangi kwake hayo ni jambo dogo tena hatahivyo akiendelea kuvuta ataanzavkutembea bila nguo hiyo ni kawaida ya bangi,
hahaa sure
 
Back
Top Bottom