Mkuu Topical, mpotezee mbangubangu huyo anayetaka sifa za kijinga humu,, yuko kwenye payroll huyo kutwa nzima jitu limo tu humu!! Mi nilishamtema kwa sababu kubishana na mjinga wote mnaonekana sawa. Mteme mkuu
bora ujinga wa tropical kuliko upumbavu wako!
.. AND what did you say is his post in CHADEMA at the moment Sir?
Mara nyingi humu JF huwa tunasema ukimuona mwanaume anamsifia mwanaume mwenzake hivyo ujue kuna walakini , na mashaka na ulivyo !
umemaliza kila kitu hapo. Mwenye kuelewa na aelewe.Hivi mtoa hoja alikuwa anamaanisha Kitila agombee urais wa CDM au urais wa nchi??? Naona wachangiaji wengi hamkumwelewa!! Kwa jinsi alivyoandika anamaanisha kuwa Kitila amrithi Mbowe nafasi ya uwenyekiti wa CDM kama hatagombea kwenye next party General election!!
Kwa sasa CDM hakuna mwingine kama Slaa kwa Urais!!!
Ninamfahamu sana tu
Ninamfahamu kuliko unavyodhani, tangu enzi za kaptura ya khaki tukiwa wadogo na wembamba kama kagame... sio leo tuna vitambi!!! he is good at his work, excellent manager.... committed and bold!! but you must understand kwamba president ni institution and needs alot of merry go rounds ambazo mkumbo hawezi kufika huko with only 4 years remaining
remember rais haandaliwi kama instant coffee!!![/QUOTE]
Mkuu umemaliza yote hapo kwe red.
Mtauana bure vichwa vibovu wote. Mwenyekiti Freeman Aikael Mbowe wakati akitokea mkoani mbeya alipitapita mikoa ya ruvuma na iringa akasema" natarajia kuachia nafasi ya uenyekiti ili mtanzania mwingine mwenye uwezo wa kuongoza chama (CDM) agombee. Na ningependa sana mtu huyo asitoke ukanda wa kaskazini ili kuwatoa shaka wale wenye dhana ya kwamba CDM ni chama cha kichaga" mwisho wa kunukuu.Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema.
Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk.
Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema.
Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk.
Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?
Hapo penye rangi umenichefua kabisa,, huyu mlafi mpenda fedha unamfananisha na Nyerere?? kwanza hata ile ku appear kama kiongozi hakuna,, hana mvuto mshika chaki huyo.......kweli wee mibangeIla kiukweli Dr Mkumbo kama wengine walivyosema ni dhahabu ambayo bado haijavumbuliwa! Ni kweli hafahamiki sana kwa vile hajawa kwenye majukwaa ya siasa lakini wanaomfahamu kidogo wanajua ni mtu wa aina ya Nyerere