Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema. Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk. Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?

wewe utakuwa haupo Tanzania kama hujui kaskazini kuna matatizo gani.Kwani kaskazini kuna tatizo gani? crap!!!!
Ninamfahamu sana tu
Ninamfahamu kuliko unavyodhani, tangu enzi za kaptura ya khaki tukiwa wadogo na wembamba kama kagame... sio leo tuna vitambi!!! he is good at his work, excellent manager.... committed and bold!! but you must understand kwamba president ni institution and needs alot of merry go rounds ambazo mkumbo hawezi kufika huko with only 4 years remaining
unajipigia debe akukumbuke kwenye ufalmewake akifanikiwa kuingia IKULU mbona unaanza mambo ya magamba mapema hivi. huoni hata haya? MTM acha hizo aibu.
Penye red, nadhani umetereza kidogo. vinginevyo unaweza kuwa na mawazo mazuri tuu.Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema. Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk. Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?
Kitila ni mtu anayeheshimika katika jamii, sasa wewe unapompigia kampeni za kibaguzi sio jambo la busara.
Jeikei aliandaliwa na nani?Waliomuandaa nadhani walikua VILAZA maana hatuoni anacho deliver kutoka kwa hao walio muandaaNinamfahamu sana tu
Ninamfahamu kuliko unavyodhani, tangu enzi za kaptura ya khaki tukiwa wadogo na wembamba kama kagame... sio leo tuna vitambi!!! he is good at his work, excellent manager.... committed and bold!! but you must understand kwamba president ni institution and needs alot of merry go rounds ambazo mkumbo hawezi kufika huko with only 4 years remaining
remember rais haandaliwi kama instant coffee!!!
Huu upuuzi unajengeka miongoni mwa watu kuwa watu wa kaskazini hawafai kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ni upofu na ufinyu wa mawazo, soma katiba sifa za kugombea urais ni zipi msikurupe kutoa mada za kipuuzi huku mkivunja katiba?? Mtu anayeingiza ukabila, udini ukanda katika suala la urais au uchaguzi wowote wa kisiasa ajue anavunja katiba na anapaswa kuadhibiwa kwa sheria zilizopo!! Huyu Dr. Mkumbo hana mdomo?? mwacheni muda ukifika atatoa uamuzi kwa kutumia haki yake ya kikatiba lakini msimsemee na kuanza kumhusisha na ukanda na ukabila!!!!
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema.
Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk.
Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?