Hahaaaaa. Kweli bongo ni zaidi ya uijuavyo
.. Hatua hiyo inatajwa kuchukuliwa baada ya uongozi wa UDSM kupata taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa Dk Kitila Mkumbo alikuwa kiongozi wa chama cha siasa, CHADEMA wakati angali ni mtumishi wa umma ...
Mimi hapa mgeni! Eti wamepata taarifa kuwa ni kiongoz wa chadema, kwani walikua hawajui muda wote huu?
Taarifa zinasema kuwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam umemvua kwa muda Mhadhiwa Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Kitila Mkumbo madaraka ya kuongoza Kitivo cha Elimu cha Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Dar es Salaam (DUCE).
Hatua hiyo inatajwa kuchukuliwa baada ya uongozi wa UDSM kupata taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa Dk Kitila Mkumbo alikuwa kiongozi wa chama cha siasa, CHADEMA wakati angali ni mtumishi wa umma, jambo ambalo Uongozi wa chuo hicho umekariri kuwa ni kinyume cha sheria ya nchi na Serikali kwa mfanyakazi wa umma kushika wadhifa katika chama cha siasa.
Chanzo habari
Ina maana siku zote walikua wapi? Alipokua akigombea uwakilishi iramba hamkumuona? mbona kashindye wa Igunga aliachishwa ualimu ili agombee ubunge? Mamlaka ya Elimu ya Vyuo inabidi iwajibike, Kumbe ndio maana anaongea kwa kujiamini kuwa hata cdm wakimfukuza bado ana ulaji DUCE.
Wallah mi nabata ushungu wa kushangaa wallah