Dr. Kitila Mkumbo asimamishwa Uongozi DUCE kwa kushiriki siasa akiwa Mtumishi wa Umma!

Status
Not open for further replies.

bmalale

Senior Member
Mar 30, 2011
466
24
Taarifa zinasema kuwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam umemvua kwa muda Mhadhiwa Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Kitila Mkumbo madaraka ya kuongoza Kitivo cha Elimu cha Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Dar es Salaam (DUCE).

Hatua hiyo inatajwa kuchukuliwa baada ya uongozi wa UDSM kupata taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa Dk Kitila Mkumbo alikuwa kiongozi wa chama cha siasa, CHADEMA wakati angali ni mtumishi wa umma, jambo ambalo Uongozi wa chuo hicho umekariri kuwa ni kinyume cha sheria ya nchi na Serikali kwa mfanyakazi wa umma kushika wadhifa katika chama cha siasa.
 
Ina maana siku zote walikua wapi? Alipokua akigombea uwakilishi iramba hamkumuona? mbona kashindye wa Igunga aliachishwa ualimu ili agombee ubunge? Mamlaka ya Elimu ya Vyuo inabidi iwajibike, Kumbe ndio maana anaongea kwa kujiamini kuwa hata cdm wakimfukuza bado ana ulaji DUCE.
 
Wakuu wa Mikoa si viongozi wa serikali na Chama hapo hapo mbona hawafutwi ?Kitila wanamuonea sasa huko DUCE lakini si bado Mwalimu ? Anaweza kuwa mwalimu bila madaraka .Kitila kakwaruzana sana na Mwigulu huko kwao bado walikuwa hawajui ? Kitia hajaingia Chadema jana ni miaka yote tangia nimemjua .
 
.. Hatua hiyo inatajwa kuchukuliwa baada ya uongozi wa UDSM kupata taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa Dk Kitila Mkumbo alikuwa kiongozi wa chama cha siasa, CHADEMA wakati angali ni mtumishi wa umma ...

ahaa .. kumbe siku zote walikuwa hawafuatilii vyombo vya habari!?
 
Dhambi ya kumsaliti mtanzania anayeteswa na mafisadi wa ccm itaendele kuwaandama wale wote wanaofanya usalati kwa manufa yao na familia zao. Pasipo kumuonea uruma mtanzania anayepata shida kutokana na ugumu wa maisha unaosababishwa na viongozi kuwa mafisadi,nasema dhambi iyo iendele mpaka kufa kwenu. Tamaa ni mbaya sana ukiiendekeza.
 
Taarifa zinasema kuwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam umemvua kwa muda Mhadhiwa Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Kitila Mkumbo madaraka ya kuongoza Kitivo cha Elimu cha Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Dar es Salaam (DUCE).

Hatua hiyo inatajwa kuchukuliwa baada ya uongozi wa UDSM kupata taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa Dk Kitila Mkumbo alikuwa kiongozi wa chama cha siasa, CHADEMA wakati angali ni mtumishi wa umma, jambo ambalo Uongozi wa chuo hicho umekariri kuwa ni kinyume cha sheria ya nchi na Serikali kwa mfanyakazi wa umma kushika wadhifa katika chama cha siasa.

Chanzo habari

m1 dunia cyo mbaya wabaya walimwengu
 
Ina maana siku zote walikua wapi? Alipokua akigombea uwakilishi iramba hamkumuona? mbona kashindye wa Igunga aliachishwa ualimu ili agombee ubunge? Mamlaka ya Elimu ya Vyuo inabidi iwajibike, Kumbe ndio maana anaongea kwa kujiamini kuwa hata cdm wakimfukuza bado ana ulaji DUCE.

anabifu na mwigulu. Kwahiyo bwana mchemba anajaribu kumfanya ili awe zezeta kwa kumbana kila sehemu.
 
Taarifa zinasema kuwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam umemvua kwa muda Mhadhiwa Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Kitila Mkumbo madaraka ya kuongoza Kitivo cha Elimu cha Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Dar es Salaam (DUCE).

Hatua hiyo inatajwa kuchukuliwa baada ya uongozi wa UDSM kupata taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa Dk Kitila Mkumbo alikuwa kiongozi wa chama cha siasa, CHADEMA wakati angali ni mtumishi wa umma, jambo ambalo Uongozi wa chuo hicho umekariri kuwa ni kinyume cha sheria ya nchi na Serikali kwa mfanyakazi wa umma kushika wadhifa katika chama cha siasa.

Chanzo habari

Baada ya mchezo wao kugunduliwa wamefanya hivyo ili kuuwaaminisha watanzania kwamba alikua mpinzani wa kwel.lakn wamechelewa
 
Status
Not open for further replies.
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom