Dr. Kitila Mkumbo asimamishwa Uongozi DUCE kwa kushiriki siasa akiwa Mtumishi wa Umma!

Status
Not open for further replies.
Baregu alikuwa Rafik wa Serikali kabla hajasimama kwenye msimamo wake...kama una kumbu kumbu nzuri ni kwamba moja ya discipline ya elimu ya Prof Baregu ni Sayansi ya siasa na kwa muktadha huu kuingia kwenye siasa halikuwa jambo baya kwa kuwa taratibu zinaruhusu ila kosa lake ni kuingia kwenye upande wa mahasimu wa mwajiri wake!

Mkumbo alikuwa mkuu wa kitivo cha Elimu DUCE na alisimamishwa ukuu wa kitivo baada ya kufanya harakati za kisiasa akiwa mtumishi wa uma...alikuwa mwiba sana kabla hajawa double agent!
 
Heshima kwako,

Suala la Ben naona ni gumu kulielezea hapa. Ila kwa mwenye macho makubwa ameona nini kipo.

Binafsi, mimejifunza mengi kwake. Najua kimya chake kipindi watu wanamsema huku kuna maana. Hata hivyo, Ben ametangaza akikusudia zaidi ya alichokiandika.

Shukurani.
Alivyokuwa chadema hamkuliona hilo? Ndio maana mnaambiwa kuwene na akiba ya maneno, juzi hapa mlimtukana sana Ben sanane kwakuwa tu mlihisi anaenda kujiunga act wazalendo ila baada yakujua amebaki chadema mkaanza kumwita kamanda hivyo nyinyi double standard mnaziona mtu akiwa nje ya chadema why?
Jifunze I kuheshima maamuzi na mawazo ya mwenzenu mtaishi vizuri bila ya mioyo yenu kuwauma pasipo na sababu yeyote
 
Alivyokuwa chadema hamkuliona hilo? Ndio maana mnaambiwa kuwene na akiba ya maneno, juzi hapa mlimtukana sana Ben sanane kwakuwa tu mlihisi anaenda kujiunga act wazalendo ila baada yakujua amebaki chadema mkaanza kumwita kamanda hivyo nyinyi double standard mnaziona mtu akiwa nje ya chadema why? Jifunze I kuheshima maamuzi na mawazo ya mwenzenu mtaishi vizuri bila ya mioyo yenu kuwauma pasipo na sababu yeyote
Mwenyewe ukiwamabia atakuambia hakuwa Chadema kifikra,kimtazamokiulewa na hata kiuwajibikaji.Aliokuwa akiwawajibikia ndio walihifadhi ajira yake km ujira wake.Walikuwa smarter ili wapunguze gharama na kumlipa kidogo kupiia Ayatoullah...si kila mtu anakumbuka viposho vya laki kadhaa alivyokuwa kawekea ktk budget ya masalia?
 
vijana wa siku hizi hata kusoma hawataki. ukiambiwa tu na mtu kijiweni basi unakimbilia jf kupost. Tujaribu mara nyingine kusoma. Vyuo vikuu vina utaratibu wa kuendelea kuwatumia wanataaluma wake punde wakishastaafu. Ajira zao ni za mkataba kwa kipindi cha muda fulani. Sasa mtu anafukuzwaje wakati hakujaza tena fomu za kuongeza mkataba?
 
Balegu hakufukuzwa UDSM, bali hakuongezewa mkataba wa ajira baada ya kustaafu. Hata hivyo, alikuwa amepewa mikataba mingine katika vipindi maalum.

Kumbuka, Prof. wa Africa analipwa mshahara na serikali tofauti na wenzetu wanaishi zaidi kwa miradi. Hivyo, serikali ndo mwamuzi wa ajira yako.

Shukurani.

Inamaanisha ishara gani kutopewa mkataba mwingine.?Sababu zipi zilipelekea kutopata mkataba mpya.?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom